Elections 2010 CONFIRMED: Zitto Kabwe ashinda jimbo la Kigoma Kaskazini

Status
Not open for further replies.
Kigomba Mjini 20594 Serukamba wa Kigoma
19414 Bwana Ali na CUF wamekuwa wa Tatu

Zito kapata kura 23315 Lembo 1416 wa CCM
Source TBC at 2306hrs
Namashaka na hiyo source ya kwa zito ila all in all ZITTO KASHINDA ataendeleza mapambano yake tuombe mungu counterpart wake Halima James Mdee nae aibuke kidedea kukamilisha mambo
 
Hongera sana Zitto tunategemea utaendelea kurusha makombora yako ya SKADI kuwateketeza mafisadi watakaobahatika kurudi mjengoni. Ila tumewapukutisha kama majani kipindi cha vuli. waliobaki hawana nguvu tena. hata km Dr. hatokuwemo mjengoni tunajeshi TAKATIFU limetinga humo litasaidiana na ww kwa ujasiri mkubwa. Tunategemea mtazima mijadala yote feki ya kifisadi. Saaaaaafi sana. Wabunge wa CHADEMA ni tishio kubwa kwa mafisadi katika mjengo unaotarajiwa kuundwa karibuni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom