CONFIRMED: Wanaume wengi wanatoka nje ya ndoa baada ya mama kujifungua hadi 6 months

Wameiba Kura

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
390
3
Wamama & wadada wa JF habari zenu, haitakiwi kutoa siri za wanaume wenzangu,
ila lazima niwaambie, muwe MAKINI KWA WAUME ZENU UKIJIFUNGUA HADI MIEZI 6
HIVI wakati unaendelea kulea, mumeo/ BF wako wengi lazima alambe nje na sababu ni

1. Mama atakuwa busy na kulea na pia hawezi kufanya tendo la ndoa, at least 6 months
2. Kuna hali ya kumwona mama hapendezi kwa kuwa yupo na mtoto, mara kuna harufu
/ shombo la mtoto mara kakojoa etc hupunguza ashki ya ku do, pia wanawake
wengine wana divert attention na kujisahau kumtumikia mume na kuwa busy na
mtoto hata kama anaweza ku do muda ukifika say 6 months, hili b careful
watch out
 
Kuogonga out siku moja moja imo..... we mwenyewe unaona watoto wanavyojishebedua ukiacha wanakuona how come, full mitego.... unapiga lakini usitake uweke kibanda noma!!!
 
kama kweli, Mungu awasamehe kwa kuwa hawajui watendalo.

but baada ya kujifungua si lazima 6 months ipite. muda unaweza kuwa mfupi au mrefu kutegemeana na namna mama alivyojifungua na matatizo yaliyoambatana na tukio zima la kujifungua. kwanza siamini kuwa kuna baba mwenye akili timamu anayechukia mkojo wa mwanaye au hicho unachoita shombo la mtoto. labda kama ni wewe tuweke wazi ili nikuingize rasmi kwenye ratiba yangu ya maombi ,anake utakuwa umefilisika katika upendo.
 
Judith, look, ukweli ni mbaya sana, si kwamba baba atachukia mkojo au shobo la mtoto, it comes automatically na kupunguza hisia/sexual feelings, na hutagundua dada yangu ni ngumu kuongelea but sometimes utasikia mumeo/BF wako akisema mchukue mtoto bana
kajisaidi/kakojoa sometimes kitandani, time goes, usiku, mchana unapita SEX FEELINGS zinapungua LOVE remain as usual, mm sijaoa, ila issue ipo wazi Judi
 
Kuogonga out siku moja moja imo..... we mwenyewe unaona watoto wanavyojishebedua ukiacha wanakuona how come, full mitego.... unapiga lakini usitake uweke kibanda noma!!!

Ni kweli mitego kila kona, but CHAGUA AMBAYE anakufaa kwa kila kitu kwenye hisia zako tupunguze ku do nje ya ndoa na si nje ya ndoa tu
basi walau ukiwa na GF chakua kweli awe na zile hisia zako zote almost, kama ni .............&....&... awe nazo
 
Judith, look, ukweli ni mbaya sana, si kwamba baba atachukia mkojo au shobo la mtoto, it comes automatically na kupunguza hisia/sexual feelings, na hutagundua dada yangu ni ngumu kuongelea but sometimes utasikia mumeo/BF wako akisema mchukue mtoto bana
kajisaidi/kakojoa sometimes kitandani, time goes, usiku, mchana unapita SEX FEELINGS zinapungua LOVE remain as usual, mm sijaoa, ila issue ipo wazi Judi

ndugu, hiyo itakuwa miongoni mwa ninazoamini kuwa ni abnormalities na silaha iliyobaki ni maombi tu, atakuwa muflisi wa upendo na mateka wa shetani, so hata kumhukumu ni kumuonea tu kinachomfaa ni kumuombea tu ili Mungu kwa rehema zake amuokoe toka dhambini
 
Hii hali ya kutoka nje ya ndoa baada ya mama kujifungua hutokea kama upendo umepungua ndani ya ndoa. Kama kuna mapenzi ya kweli hali hii haiwezi kutokea. Hakuna kipindi maalum cha kusubiri, kama kuna "shida" bado kuna mbinu nyingi za utatuzi zaidi ya huko mtoto alikotokea.
 
ku do out ni tamaa na uhuni wa mtu binafsi........we mzee w kura tupe source ya haya maneno unaleta hapa jamvini........

ni wachache sana wanaoheshimu ndoa zao na wako hivi na kumaanisha furaha unayoiona nyusoni mwao ktk kipindi cha uzazi wa mama imagesCAU3244M.jpg
 
Hii hali ya kutoka nje ya ndoa baada ya mama kujifungua hutokea kama upendo umepungua ndani ya ndoa. Kama kuna mapenzi ya kweli hali hii haiwezi kutokea. Hakuna kipindi maalum cha kusubiri, kama kuna "shida" bado kuna mbinu nyingi za utatuzi zaidi ya huko mtoto alikotokea.
wapi tena mazee
 
ndugu, hiyo itakuwa miongoni mwa ninazoamini kuwa ni abnormalities na silaha iliyobaki ni maombi tu, atakuwa muflisi wa upendo na mateka wa shetani, so hata kumhukumu ni kumuonea tu kinachomfaa ni kumuombea tu ili Mungu kwa rehema zake amuokoe toka dhambini

Maombi ni muhimu sana mama. Shetani kupitia tamaa zetu anakamata watu kwa kusahau ahadi zetu, wajibu wa kupenda katika shida na raha.
Inawezekana tukiwa na nia ya dhati.
 
Hapa ni tabia ya mtu tu si kweli wote wanatoka nje hata iwaje kama ni tabia yako hata mke wako hazai utaendelea tu kutoka nje! Hiyo ni tabia tu na si kuwa kwa kuwa mama anakuwa busy kutunza mtoto tena wapo wababa mama anapojifungua ndio anakuwa karibu sana kwani majukumu kwa mama yanaongezeka.

Wanaume tuacheni Tamaa tuwajali wake zetu
 
Niliwahi sikia wanasema akili za midume zipo katikati ya miguu yao naanza kuamni huu msemo mhh
 
hasa uume ukisha simama that is the time, na wanawake pia when women become tossed under their garment akili zinaende in between legs, ni wote
 
Niliwahi sikia wanasema akili za midume zipo katikati ya miguu yao naanza kuamni huu msemo mhh

Hahahahahahahah We Maria! mbona unakufuru weye? usitukane wanaume na nonino bado ipo....shauri yako LOL!
 
Naomba niwatetee nnaowafahamu wasio na tabia hiyo!Wengine ndo kwanza kua na watoto kumewabadilisha...wamekua watulivu na hawakimbii watoto wao eti wananuka mkojo!Mtu wa aina hiyo hata aibu hana...tamaa za mwili zikiendesha maisha yako utaishia kufa kwa magonjwa...mbaya zaidi unampa na mke alietulia nyumbani!Wenye tabia hizo badilikeni...kueni na huruma kwa wake na wapenzi wenu!Ubinafsi hautakiwi kwenye mahusiano!
 
Very well said.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom