Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
Ok hongera..sasa inabidi hawa watu wawe well-seasoned ili kuwa effective bungeni.
Clouds kina Kusaga, Ruge na Kibonde mpoooooooooooooooooo
Wao ni wadhulumaji na wanyonyaji kwa wasanii mwaka huu watakoma lazima mamwite mheshimiwa Sugu
Watatafuta mlango wa kutokea mwaka huu, kwa sababu walimnanga sana wakati ule wa mgogoro wa Sugu na Ruge
Ok hongera..sasa inabidi hawa watu wawe well-seasoned ili kuwa effective bungeni.
as soon Sugu atakuwa Muheshimiwa...
kazi kwa Kibonde sasa, atabakia na Asalam aleikhum yake mpk mwisho wa dahari.
usisahau SOKO MATOLA!Jamani tupeni figa za Mafiati, Makunguru, Mwanjelwa, Uhindini, Ghana, Nzovwe nk