Elections 2010 CONFIRMED: Phillip Marmo is out - a humiliating defeat for a longtime MP

you can say that again and again
Siamini macho yangu kwamba Marmo is no longer, VIJANA WA UNIVERSITIES wamefanya kazi yao. Aliwaita siku mmoja kule jimboni na kuwapiga darasam wakaanza kumwuliza umefanya nini mzee miaka 35 akaanza kuwatusi. Marmo anakuwa mbunge nilikuwa darasa laa nne leo nina familia na nimemaliza madara yote. Hongera wanamageuzi, historia ya Sarwat inawatafuna CCM taratiiiiiiiiiibu
 
Binafsi ninafuraha sana. Marmo alipopita Mbulu wakati akiongoza tume ya kutafuta maoni juu ya mfumo wa vyama vingi mwanzoni mwa miaka ya 1990 tulikutana pale Dongobesh katika mikutano ya Tume ile. Ni wakati ule ndipo nilipopingana na fikra za viongozi wabovu waliolewa madaraka. Nakumbuka alikuwa ni kama mungu fulani kule hasa akisifiwa kuwa ni mwanasheria aliyebeboa n.k n.k Kwa sehemu za Mbulu Marmo alikuwa ni kama marehemu yule Mbunge wa Makete..Tuntemeke Sanga..

Lakini leo wananchi wamemkataa na nina uhakika huko aliko haamini na angependa kujua kweli nani hakumpigia kura. Fikiria akitembea Mbulu kila anayemuona atamshuku kuwa yawezekana hakumpigia kura.
 
Ila kuna hatari/uwezekano wa wengi waliokuwa wabunge wa ccm waka rest in peace kutokana na shock ya kukosa ubunge! CHADEMA wembe wamenyolewa bila maji!
 
NACHUKIA CCM TO THE GRAVE,napenda kuwasikitikia waliomchagua yule MTALII jike(jk), 4 anada 5 painful yrs. too sad
 
Back
Top Bottom