Confirmed: Noti feki zinasafishwa kupitia mabenki!!!

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
habari ni confirmed na source ni mimi mwenyewe,

Kuwa makini usibambikiwe noti mpya ambazo ni feki, wafanyakazi wa mabenki wanalijua hili!

Siri ni kwamba notes counting machine za mabenki mengi bado hazijawa configured ili ziweze kutambua security features za noti mpya. Mashine bado zinatambua security features za noti za zamani.
Wajanja wachache kwa kushirikiana na mabenki wanatumia hii loophole kupitisha noti feki na wao kuchukua genuine notes.
Kuna cases zimesha ripotiwa na watu waliokwenda kuwithdraw pesa zao benki, wamejikuta wakichomekewa noti feki.
 
Je kwenye Atm ?
kwenye ATM haitoki fake na ni baadhi ya machine ambazo ni new model lakini mostly mashine za makeshia HAZIWEZI kutambua noti feki narudia HAZIWEZI na hata hao mabenka wanakuambia hawajui wafanye nini wanazipokea feki na wao wanazibambikiza kwa wateja...

.....kuna kesi moja BOA BANK(?) walipata Mil 5.5 noti feki kwa siku ila walipiga kimya....unajua walizipeleka wapi? GO FIGURE
 
Tatizo la hela ni kwamba halina definition kamili.

Kama una elfu kumi, halafu unaweza kuitumia kununua kitu, na kuenda benki inapita kwenye counting machine....basi hiyo sio feki....itakuwa feki tu, pale utakaposhindwa kuitumia.
 
Noti zinazodaiwa kuwa FEKI zilikuwa noti halisi ila ziliibiwa na wajanja kabla fedha mpya hazijaingizwa kwenye mzunguko. BOT walipogundua hilo wakaenda kwa mchapishaji na kuongezea features nyingine zaidi. Mchapaji akagoma kwani ingebidi abadili system nzima ya uchapaji note. Basi wakakubaliana wabadili picha ya mwalimu kidogo na kuongeza pixels kwa baadhi ya alama. Ukiiona noti feki kwa kweli huwezi ijua kirahisi. kwani kila kitu kipo sawa kutoa picha ya mwalimu iko more clear kwenye noti mpya za BOT kuliko zile zilizoibiwa
 
Au nazo ni za Kich*na
itakuwa, na siyo hizi tu zajuzi hata zile za zamani ni kimeo.. wewe ukitaka kuamini chukua mia halafu iweke kwenye maji siku mbili, halafu chukua cent 50 iweke kwenye maji hata mwezi utagundua...Tuna rais fake, pesa fake......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom