Elections 2010 CONFIRMED: Mzee wa 'Vijisenti" Chenge ashinda

Bariadi ni majirani zangu jamani,Wadhungu wanaita walking distance.
Nimeongea na chanzo cha kuaminika ni kwamba wameweka makompyuta pembeni wanahesabu kura kwa mkono.
Uwezekano ni jioni hii matokeo kuwa OUT.
Tuache uzushi jamani,moyo ni kiungo nyeti sana!
 
nasikia chenge kaangushwa huko bariadi, na jimbo limeenda chadema...

nachukia mtu mzima kuja hapa kuongea uongo tena kwa kujiamini mod please huu siyo muda wakukaa tunapeana taarifa zisizo kuwa na kichwa wala mguu kwani watu wanakuwa wahuni namna hii kama huna taarifa sahihi itakugharimu kiasi gani ukikaa kimya kuliko kuongea usilolijua?
 
Bariadi ni majirani zangu jamani,Wadhungu wanaita walking distance.
Nimeongea na chanzo cha kuaminika ni kwamba wameweka makompyuta pembeni wanahesabu kura kwa mkono.
Uwezekano ni jioni hii matokeo kuwa OUT.
Tuache uzushi jamani,moyo ni kiungo nyeti sana!

Hapo ndo bao laini la kisigino linapotinga, kwa mtaji huo sasa Chenge ni mbunge. ukiwapa mwanya wa kuhesabu chakachua tayari ilishachukua mkondo wake. kwani hakuwa na mawakala? hakuwalipa vizuri navijisenti vyake alivyokuwa navyo?
 
Bariadi ni majirani zangu jamani,Wadhungu wanaita walking distance.
Nimeongea na chanzo cha kuaminika ni kwamba wameweka makompyuta pembeni wanahesabu kura kwa mkono.
Uwezekano ni jioni hii matokeo kuwa OUT.
Tuache uzushi jamani,moyo ni kiungo nyeti sana!

Be serious. Wanahesabu kwa mkono au wanajumlisha kwa mkono? Kama ni kuhesabu CCM in, CHADEMA out. Kama ni kujumlisha upya, THE OPPOSITE IS TRUE...
 
Balaa tupu! Mechi itakuwa kali ktk bunge hili! (Chenge, Lowassa, Rostam) ana kwa ana na (Lisu & co. )
 
Back
Top Bottom