Confirmed: Msichana Aliyepanga Nyumba

mkuu fikiri kidogo,
dada yako anafanya kazi kiwanda cha wazo. Familia yote mnaishi mbagala. Kuna ubaya gani akitafuta chumba maeneo karibu na wazo? Hawa watu hawafugiki na wala hawalindwi au kuchungwa........akiamua kaamua hata awe ndani ya geti kali namna gani.

For her own good na kama anataka kuolewa mapema zaidi, hapaswi kuhama.

Kiukweli inaleta heshima kumchukua binti kwa wazazi wake kuliko umkute yuko full furnished geto kwake.
Ndo mwanzo wa dume zima kuambiwa unikome kwani hukunikuta nalala na njaa,,wanawake wengi wa namna hiyo ni arongant sana.
 
Hata nikiwa kwa baba/mama/kaka/ mjomba nikiamua kufanya hayo nafanya,
Bado hicho sio kigezo, Maisha ni vile nimeamua kuishi/kuchagua.

ndo maana mada inasema hautakuwa wife material!
 
jamani jamani we kaka jambaz mböna hivyo? Shost nn miaka 25 mi nina 37 eti bado niendelee kukaa kwa wazazi kisa nitakua c mke mwema lol hii kali, ss bora kuna m2 kasema kwa wazazi na kazini anapanda daladala 2 mimi kwangu na kwa wazazi ni dk tano 2 so mimi naona kwa utafiti wa jambazi ndo ctaolewa kabisa mwe

Ungekaa kwa wazazi afu unafuata maadili yote ya kurudi mapema,kuhudhuria misibani,jumuiani,harusini nk ungekua umeishaolewa zamaaani.
 
ah ah ah same to u swty hut,darling na yale majina yako mengine meeeengi!nafurahi kukuona umechaguliwa tena.:teeth::teeth::teeth:

ndio kunifanya nini tena hivyo mimi nita withdraw kama hali ndio hii hayo mambo ya wewe kuwekwa ndani na mapedesheee mimi siwezi
 
baby jamani tusubiri kidogo basi tumalize nyumba,yani unataka na huyu palepale kwenye nyumba ya kupanga?si unaona sasa nashindwa kukupa mambo matam zaidi kwa sababu ya chambo za majirani?tutaongeza mpz wangu ngoja nirudishe mwili kidogo nipe miezi 6 tu swty wangu,I will make u a very proud Daddy.,Nisamehe kama nimekukwaza lkn.
Sasa this year tunaongeza mtoto mwingine wa pili au tusubiri kwanza
 
baby jamani tusubiri kidogo basi tumalize nyumba,yani unataka na huyu palepale kwenye nyumba ya kupanga?si unaona sasa nashindwa kukupa mambo matam zaidi kwa sababu ya chambo za majirani?tutaongeza mpz wangu ngoja nirudishe mwili kidogo nipe miezi 6 tu swty wangu,I will make u a very proud Daddy.,Nisamehe kama nimekukwaza lkn.

The Following User Says Thank You to Pearl For This Useful Post:

The Finest (Today)

AS YOU WISH MY LOVE SINA KIPINGAMIZI JUU YA HILO HALAFU HUYU WA KIKE NAONA VIJANA WA MTAANI WAMEISHAANZA KUMZENGEA
 
usijali swty MUNGU ninaemwamini atamlinda na kumpigania dear
The Following User Says Thank You to Pearl For This Useful Post:

The Finest (Today)

AS YOU WISH MY LOVE SINA KIPINGAMIZI JUU YA HILO HALAFU HUYU WA KIKE NAONA VIJANA WA MTAANI WAMEISHAANZA KUMZENGEA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom