Confirmed: Msichana Aliyepanga Nyumba

Kuna wengine wanapanga ili kuishi karibu na ofisi zao za kazi.

Ni kweli kabisa Mundu, nakubaliana na wewe, hivi mfano labda wazazi wako sehemu wanayoishi mpaka ufike kazini kwako umepanda daladala 2, na wakati unaweza kuokoa hizo cost kwa kuamua kutafuta nyumba karibu na kazini kwako, kuna kosa hapo?
 
ntaendelea kupanga niolewe nisiolewe yote ni mipango ya Mungu after all nafanya nacho ona mm ni sahii kama ananipenda atanifata kokote tu sio lazima nikae nyumbani ndo ajue mm ni mke mwema,naweza kuwa nyumbani kutwa natoroka mpaka mzazi anatamani nihame maana ni kero,kupanga kwangu kunanifunsha maisha tofauti na nyumbani nakuwa makini zaidi ktk kila nilifanyalo!VIVA KUPANGA FOR INDIPENDENT LADIES.
 
ndio maana hatuendelei kwa mawazo mgando kama haya,nikishapata kazi napaswa kujitegemea,utakuta majumbani mwetu tunafuga mibaba na mimama ya miaka zaidi ya 25 tukiyaita watoto,inahusu!!!
 
NImekogongea thanks mwaya wakati ukifika utaolewa tu hata iweje,wala hayo maneno yasikutishe, kwanza ukiendelea kukaa kwa wazazi unalemaa na kuwa tegemezi.
 
ndio maana hatuendelei kwa mawazo mgando kama haya,nikishapata kazi napaswa kujitegemea,utakuta majumbani mwetu tunafuga mibaba na mimama ya miaka zaidi ya 25 tukiyaita watoto,inahusu!!!

Umeongea point kabisa, hivi kwanza utakaa kwa wazazi mpaka lini?
 
Wala usirudishe mwaya vitu vyako nyumbani, kwanza hiyo inakusaidia kujifunza maisha.

Hapo ndo nakuwa nautumikia huo uwife material eti,

Bwana Bwana Mke/Mume mwema hutoka kwa bwana.

Hata nijenge nyumba acha kupanga, kama we mume umetoka kwa Mungu,
Ndoa njema, nzuri, tamu, yenye mafanikio na neema na nguvu itakuja tu.

Acha kutudanganya tujifungie kwenye mabox ya ujinga na umaskini kisa Wife material.

Nipishe nipite.
 
I for one started being independent the minute I joined UDSM no one supported me todate! I also left home from when I joined because I secured my own place...its 13yrs(4yrs study time inclusive ) since being independent and its 10th year of our annivesary this year (God willing )I think am a wife material over n over !
Eng Nsiande
 
Hapo ndo nakuwa nautumikia huo uwife material eti,

Bwana Bwana Mke/Mume mwema hutoka kwa bwana.

Hata nijenge nyumba acha kupanga, kama we mume umetoka kwa Mungu,
Ndoa njema, nzuri, tamu, yenye mafanikio na neema na nguvu itakuja tu.

Acha kutudanganya tujifungie kwenye mabox ya ujinga na umaskini kisa Wife material.

Nipishe nipite.

mwe!!!!!!!
 
Umeongea point kabisa, hivi kwanza utakaa kwa wazazi mpaka lini?

si ndo hapo sasa,semeni mnavyosema mimi nliondoka kitambo,ngesubiri kuolewa mpaka leo na mvi hizi sina mume si ningezeekea kwa wazazi,heshma iko wapi sasa.
 
sio wanawake wote waliopanga sio wife material, kuna exception ndugu yangu,,kuna wengi nawafahamu ambao wana maadili mazuri na wamepanga, nafikiri ni suala la kujipanga na maisha tu..huwezi kaa nyumbani unasubiri kuolewa na kuacha kujipanga,,husipoolewa je?
 
Mtoto anatakiwa aondoke kwa wazazi afikiapo miaka kumi na nane!
 
Hata baibo inasema hivi kwa mwanaume na sio mwanamke.

Mwanzo.2:24 anasema, “Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili moja”.
kaka jamabazi usije ukapigwa kama hivyo in your avtar kwa ku confuse bible, hiyo statment haimaanisha ndo mtu akae home jamani kama job ni posta wazazi wamejenga kibaha does it make senc eti nikakae home nichelewe job au........ am sorry kama vip mkaoe walioko vijijini ambao hawakai mbalina wazazi mie sitaki shari mwaka nikauanza vibaya bure
 
ntaendelea kupanga niolewe nisiolewe yote ni mipango ya Mungu after all nafanya nacho ona mm ni sahii kama ananipenda atanifata kokote tu sio lazima nikae nyumbani ndo ajue mm ni mke mwema,naweza kuwa nyumbani kutwa natoroka mpaka mzazi anatamani nihame maana ni kero,kupanga kwangu kunanifunsha maisha tofauti na nyumbani nakuwa makini zaidi ktk kila nilifanyalo!VIVA KUPANGA FOR INDIPENDENT LADIES.

Yani viva forever
du mchizi wangu nimependa hii post yangu sijui uni pm tuchonge
kama vile ulikuwepo
kichwani
mi nitapanga kwanza
hata akikukuta home kwenu vituko vituko
bora mtu ujuwe kujitegemea
bana:teeth: disco kidogo , mitungi kwa sana , .........nk nk .....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom