Confirmed; kuna watu wanafikiri kwa masaburi!

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,289
781
Nashawishika kuamini kuwa ama kweli kuna watu wanatumia yaleee yakuketia chooni kufikiria: Mtu anaidea nzuri kabisa ya biashara, mjinga mmoja anakuja kumkatisha tama mwenzake kwa kumkariria maandiko ya kwenye vitabu…!!! Hivi hizi akili za kunakili mnazitoa wapi?...Kama imani ya mtu inamruhusu kufuga mnyama huyo MWACHE, siyo unakaa unamshambulia na maneno yasiyo pua wala kisigino; wacha watu wajenge uchumi imara kwa jasho halali!! MIMI NAFUGA HUYU MNYAMA KWA MIAKA MINGI SANA, NA MUNGU NAMPATIA SADAKA YA NGURUWE NA ANAIPOKEA NA ANABARIKI KAZI ZA MIKONO YANGU-MWANADAMU NI KIDUDU GANI!!

pot belly.jpg

MUNGU HAWEZI UMBA MNYAMA KISHA AMHARAMISHE, HUYO MUNGU ATAKUWA KICHAA?

mate yananitoka tu hapa, ngoja mda wa kazi uishe nikaanze na supu yake pale JJ sinza

Bora basi angefikiri kwa Masaburi yote, inavyoonesha saburi lake moja 'limeparalaiz'.

Jamani sio poa mnawaharibia wenzenu swaumu yao kuweni waungwana basi kidogo

kwani nani kakuambia huyo ni haramu wakati hata nyama yake iko juu balaa hao ndio majununi hao washindwe na kulegea..

Nashawishika kuamini kuwa ama kweli kuna watu wanatumia yaleee yakuketia chooni kufikiria: Mtu anaidea nzuri kabisa ya biashara, mjinga mmoja anakuja kumkatisha tama mwenzake kwa kumkariria maandiko ya kwenye vitabu…!!! Hivi hizi akili za kunakili mnazitoa wapi?...Kama imani ya mtu inamruhusu kufuga mnyama huyo MWACHE, siyo unakaa unamshambulia na maneno yasiyo pua wala kisigino; wacha watu wajenge uchumi imara kwa jasho halali!! MIMI NAFUGA HUYU MNYAMA KWA MIAKA MINGI SANA, NA MUNGU NAMPATIA SADAKA YA NGURUWE NA ANAIPOKEA NA ANABARIKI KAZI ZA MIKONO YANGU-MWANADAMU NI KIDUDU GANI!!

MUNGU HAWEZI UMBA MNYAMA KISHA AMHARAMISHE, HUYO MUNGU ATAKUWA KICHAA?

ngulubhe imenona hadi miguu imezamia kifuani

Mimi nawashangaa sana wasabato kukataa pombe,nguruwe na sikukuu ya x mas na huku tunatumia biblia hiyo hiyo

mbona kwa mwezi huu hazinunuliwi kabisa? kuna siri gani maana baada ya huu mwzi biashara inaenda balaa

Aaah wanajifanya hawali wakati mbinu zao tunazijua,iyo kitu wanaweka kwa chini nyama ya mbuzi juu ,wakati wa kula anachomoa za chini tu za hazigusi.

ushahidi wa kujua nani walaji wakubwa wa hii kitu tembelea baar msimu huu wa mfungo uone kulivododa ukiagiza unaletewa fasta kwani hakuna walaji ngoja msimu huu wa uishe uone kitakavoshupaliwa na kugombaniwa...sasa tuseme nani mlaji mkuu??? anzia B bar sinza, lufungila,kimara,migombani savei nk. kazi kwenu mlioko kwenye neema

Nashawishika kuamini kuwa ama kweli kuna watu wanatumia yaleee yakuketia chooni kufikiria: Mtu anaidea nzuri kabisa ya biashara, mjinga mmoja anakuja kumkatisha tama mwenzake kwa kumkariria maandiko ya kwenye vitabu…!!! Hivi hizi akili za kunakili mnazitoa wapi?...Kama imani ya mtu inamruhusu kufuga mnyama huyo MWACHE, siyo unakaa unamshambulia na maneno yasiyo pua wala kisigino; wacha watu wajenge uchumi imara kwa jasho halali!! MIMI NAFUGA HUYU MNYAMA KWA MIAKA MINGI SANA, NA MUNGU NAMPATIA SADAKA YA NGURUWE NA ANAIPOKEA NA ANABARIKI KAZI ZA MIKONO YANGU-MWANADAMU NI KIDUDU GANI!!

MUNGU HAWEZI UMBA MNYAMA KISHA AMHARAMISHE, HUYO MUNGU ATAKUWA KICHAA?

Mkuu badili usemi wako wa Mungu kuwa kichaa

Biashara kama inalipa, mshauri tu aifanye
Ila cha kuzingatia asivunje SHERIA za nchi na wala asiwakere WATEJA wake

Back
Top Bottom