CCM - 20,470
CHADEMA - 8,056
CUF - 5,833 (Wamepata kata ya Nzega mjini ambapo Dr. Slaa kaongoza kura za urais)
Akiamua kuchapa kazi watu watamtukuza na Mungu atambariki!
Oyaa mbona wengi humu mlikuwa hamtaki nishinde? Hivi mimi kupata bahati nimekosa nini jamani?
Mi mpiganaji tu, wengine mnadai nimeteuliwa, basi mara anafanya kazi kwa mke wa rais, mara kabebwa na riz1, mara vile! Hivi nyie hamuamini mungu yupo na anatuona sisi wachache wenye dhamira safi? Wapiganaji wa ukweli? Watafutaji tusioogopa wala kubadili nia, hata kama unajua una nafasi ndogo ya kupata? Nyie hamuoni kama nimepata kibahati sana jamani?
Hebu angalieni wasifu wa wapinzani wangu wa karibu halafu mnitafute na mimi...kama hamtogundua Kigwangala ni mhangaikaji ambaye ndoto ya jaha ilimuangukia na pengine mungu amemtuma kazi maalum! Basi watu mmebaki mkitafuta mchawi tu! Mtamsingizia Kikwete, Riz1 na mama yake - wakati wala huyo mnyamwezi Kigwangala hawamjui wala hawajawahi kukutana naye!!! Kikwete ameniona mara ya kwanza alipokuja kupiga kampeni Nzega! Can you imagine? !
Spirit yangu ndo imenifikisha hapa, huwa siogopi kutafuta kitu, I always believe in myself and my abilities! Huwa najiamni sana na hupigana bila kukata tamaa...ungefika Nzega ungesema jimbo limekwenda CHADEMA hilo, lkn sikukata tamaa, niliendelea kujipanga na kufanya kampeni za nguvu zaidi mpaka watu wakanifahamu vizuri, wakauona uwezo wangu, wakaniamini wakanipa kura nyingi kiasi hicho! It takes a braveheart to be in my position and to persist and win such a challenging election!

wakanifahamu vizuri, wakauona uwezo wangu, wakaniamini wakanipa kura nyingi kiasi hicho! It takes a braveheart to be in my position and to persist and win such a challenging election!
Oyaa mbona wengi humu mlikuwa hamtaki nishinde? Hivi mimi kupata bahati nimekosa nini jamani?
Mi mpiganaji tu, wengine mnadai nimeteuliwa, basi mara anafanya kazi kwa mke wa rais, mara kabebwa na riz1, mara vile! Hivi nyie hamuamini mungu yupo na anatuona sisi wachache wenye dhamira safi? Wapiganaji wa ukweli? Watafutaji tusioogopa wala kubadili nia, hata kama unajua una nafasi ndogo ya kupata? Nyie hamuoni kama nimepata kibahati sana jamani?
Hebu angalieni wasifu wa wapinzani wangu wa karibu halafu mnitafute na mimi...kama hamtogundua Kigwangala ni mhangaikaji ambaye ndoto ya jaha ilimuangukia na pengine mungu amemtuma kazi maalum! Basi watu mmebaki mkitafuta mchawi tu! Mtamsingizia Kikwete, Riz1 na mama yake - wakati wala huyo mnyamwezi Kigwangala hawamjui wala hawajawahi kukutana naye!!! Kikwete ameniona mara ya kwanza alipokuja kupiga kampeni Nzega! Can you imagine? !
Spirit yangu ndo imenifikisha hapa, huwa siogopi kutafuta kitu, I always believe in myself and my abilities! Huwa najiamni sana na hupigana bila kukata tamaa...ungefika Nzega ungesema jimbo limekwenda CHADEMA hilo, lkn sikukata tamaa, niliendelea kujipanga na kufanya kampeni za nguvu zaidi mpaka watu wakanifahamu vizuri, wakauona uwezo wangu, wakaniamini wakanipa kura nyingi kiasi hicho! It takes a braveheart to be in my position and to persist and win such a challenging election!
Hamisi nakufahamu wewe ni mpiganaji tangu tunasoma wote MUCHS, Tatizo chama ulichopitia kitakudhibiti tu ufanye kile CCM inachoamini na inachotaka si wananchi wa jimbo lako wanachotaka. Si unaona akina Anna Kilango walivyozimwa midomo kwenye ishu za ufisadi. So dont expect you wiil do much.Oyaa mbona wengi humu mlikuwa hamtaki nishinde? Hivi mimi kupata bahati nimekosa nini jamani?
Mi mpiganaji tu, wengine mnadai nimeteuliwa, basi mara anafanya kazi kwa mke wa rais, mara kabebwa na riz1, mara vile! Hivi nyie hamuamini mungu yupo na anatuona sisi wachache wenye dhamira safi? Wapiganaji wa ukweli? Watafutaji tusioogopa wala kubadili nia, hata kama unajua una nafasi ndogo ya kupata? Nyie hamuoni kama nimepata kibahati sana jamani?
Hebu angalieni wasifu wa wapinzani wangu wa karibu halafu mnitafute na mimi...kama hamtogundua Kigwangala ni mhangaikaji ambaye ndoto ya jaha ilimuangukia na pengine mungu amemtuma kazi maalum! Basi watu mmebaki mkitafuta mchawi tu! Mtamsingizia Kikwete, Riz1 na mama yake - wakati wala huyo mnyamwezi Kigwangala hawamjui wala hawajawahi kukutana naye!!! Kikwete ameniona mara ya kwanza alipokuja kupiga kampeni Nzega! Can you imagine? !
Spirit yangu ndo imenifikisha hapa, huwa siogopi kutafuta kitu, I always believe in myself and my abilities! Huwa najiamni sana na hupigana bila kukata tamaa...ungefika Nzega ungesema jimbo limekwenda CHADEMA hilo, lkn sikukata tamaa, niliendelea kujipanga na kufanya kampeni za nguvu zaidi mpaka watu wakanifahamu vizuri, wakauona uwezo wangu, wakaniamini wakanipa kura nyingi kiasi hicho! It takes a braveheart to be in my position and to persist and win such a challenging election!
CCM - 20,470
CHADEMA - 8,056
CUF - 5,833 (Wamepata kata ya Nzega mjini ambapo Dr. Slaa kaongoza kura za urais)
Oyaa mbona wengi humu mlikuwa hamtaki nishinde? Hivi mimi kupata bahati nimekosa nini jamani?
Mi mpiganaji tu, wengine mnadai nimeteuliwa, basi mara anafanya kazi kwa mke wa rais, mara kabebwa na riz1, mara vile! Hivi nyie hamuamini mungu yupo na anatuona sisi wachache wenye dhamira safi? Wapiganaji wa ukweli? Watafutaji tusioogopa wala kubadili nia, hata kama unajua una nafasi ndogo ya kupata? Nyie hamuoni kama nimepata kibahati sana jamani?
Hebu angalieni wasifu wa wapinzani wangu wa karibu halafu mnitafute na mimi...kama hamtogundua Kigwangala ni mhangaikaji ambaye ndoto ya jaha ilimuangukia na pengine mungu amemtuma kazi maalum! Basi watu mmebaki mkitafuta mchawi tu! Mtamsingizia Kikwete, Riz1 na mama yake - wakati wala huyo mnyamwezi Kigwangala hawamjui wala hawajawahi kukutana naye!!! Kikwete ameniona mara ya kwanza alipokuja kupiga kampeni Nzega! Can you imagine? !
Spirit yangu ndo imenifikisha hapa, huwa siogopi kutafuta kitu, I always believe in myself and my abilities! Huwa najiamni sana na hupigana bila kukata tamaa...ungefika Nzega ungesema jimbo limekwenda CHADEMA hilo, lkn sikukata tamaa, niliendelea kujipanga na kufanya kampeni za nguvu zaidi mpaka watu wakanifahamu vizuri, wakauona uwezo wangu, wakaniamini wakanipa kura nyingi kiasi hicho! It takes a braveheart to be in my position and to persist and win such a challenging election!
Kigwa usitake kutudanganya, hata kama una dhamira ya kweli hutaweza kwani chama ulichomo tunajua chama kwanza wananchi baadae, unaweza kuwa na dhamira nzuri lakini chama chako kitakuangusha, kwa kuwa najua nawe utapenda tena uteuliwe kuwa mgombea tena usingependa ukiangushe chama chako, fisadi huzaa fisadi.Oyaa mbona wengi humu mlikuwa hamtaki nishinde? Hivi mimi kupata bahati nimekosa nini jamani?