Elections 2010 CONFIRMED: Joseph Mbilinyi (CHADEMA) atangazwa rasmi Mbunge wa Mbeya mjini

sipati picha combination ya pale mjengoni itakuwaje this time!!

spika wa bunge lijalo anakazi sana............. tanzanians has spoken once again

peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeezzz........................
 
Joseph Mbilinyi, known for his stage names Mr. II and Sugu and 2-proud, is one of the founders of the hip hop music scene in Tanzania. He has travelled around the world performing. He's respected among his peers for his outstanding contribution to helping the music business find its own direction. Mr. II was the first Tanzanian rap artist to have major success with his music. Through his music and language he express and addresses politics, social inequalities and other problems that affected Tanzanians. Most would consider his music as a voice for the voiceless, his brand of rap is soulful, lyrical, rhythmical and from the heart. This is because Mr. II is not afraid to tell it like it is, undertaking sensitive issues of concern to many Tanzanians such as democracy, child prostitution, police brutality and corruption... (SOURCE WIKIPEDIA).

hapo nilipoweka rangi nyekundu muhimu sana.. HONGERA KAKA!!
 
jamani adi watu waandamane?wanaficha na kuchelewesha nini?
wanaudhi sana na wanazidi kujenga chuki na wanainchi


sii mchezo bongo flava bungeni
 
From Mr Proud to Mheshimiwa. Inatiia moyo sana. Nguvu ya umma imeongea tunakutakia mafanikio mema mjengoni kaka.
 
.......Wamebana mwisho wameamua kuachia..,..hongera zako mkaka. Mbeya mjini mpo juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!

Yaaani wanyakyusa mmenipa raha, mwaka huu nachumbia binti wa kinyakyusa, kumbe mna msimamo bwana:smile-big:
 
Hongera sna Sugu aibu kwa Fina mango na Masoud Kipanya mlimpiga madongo Sugu kipindi fulani.....
 
Obi nakuomba uondoe picha ya hayati baba wa Taifa nadhani kiungwana si busara kuiweka hapo. Zipo picha nyingi unaweza kutumia tafadhali tumia busara kuiondoa. Nadhani hata wana JF wengine wameliona hilo. Tumwache mzee wetu apumzike kwa amani.
 
All the best.....

Hivi kwa nini majimbo ambayo upinzani umeongoza kwa nini wanachelewesha kutangaza? Je inabidi wasimamizi wapate ruhusa fulani kwanza ndio watangaze?
 
Kuna Zero kuliko Presida wako?@Magnet1...wewe umeishiwa kweli kweli, hapa nani anongea habari za Udini...fikra mgando hizo......Your a very Cheap Looser....Think again.....Kuna watu wanaitwa Eti Prof: Magembe anafanya nini, anaongea nini juzi, ujinga mtupu hata kijana wa f4 hawezi kuwa na akili kama zile.......eti Watoto wasome kuanzia standard 1 mpaka f4 no exams...hiyo Akili? do u think Sugu can have such stupid ideas kuzileta kwenye Mass?...Think again, if u don't have any critical urgment better stay mounth shut...come on
 
Acheni uzembe, sasa huyu zero anaenda kufanyanini bungeni au kwakua ni mkristo? Waislam mnataka wasemaje


Sasa huyu Mr. Zero bungeni akafanye nini?? Chadema hapo mlifuka ilitakiwa kuangalia mambo mengi kuteua mgombea. Au kisa bongo fleva??? Bunge shule vijana sio sehemu ya kwenda tu. Ok yetu macho ndo ninyi wenywewe mtakao mkana 2015.
 
Usilale kwanza hebu nipeni news za hapa Ubungo jamani

yani tumeshashinda mkuu.kuna very big difference 20,000+ votes is not a joke.hata wakichakachua vp hawawezi kuziba gap lote.Tunasubiri watangaze tu!
 
All the best.....

Hivi kwa nini majimbo ambayo upinzani umeongoza kwa nini wanachelewesha kutangaza? Je inabidi wasimamizi wapate ruhusa fulani kwanza ndio watangaze?

kimsingi ubunge CCM imechemka, sa wanaangalia ni jinsi gani nchi (maamuzi yasiendeshwe na upinzani) si unajua bunge hata rais linauwezo wa kumg'oa madarakani? so wanaogopa wasijewakajikuta wana raisi kivuli
 
Big Thank to Brother Lusajo for update.....CHADEMAAAAAAAAAAAAAAAA VEMA SANA
 
Back
Top Bottom