Elections 2010 CONFIRMED: Joseph Mbilinyi (CHADEMA) atangazwa rasmi Mbunge wa Mbeya mjini

Imetulia kweli duh sipati picha..akiwa bungeni.."eehe mheshimiwa spika nilitaka kujua kama hizi hiphpo za bongo mbona hazina soko kama za marekani!!?"
 
sugu moto chini heeeeeh
Sugu moto chini haaaaaaaa

Hah hah hah hah haaaaaaaaaaaaa
Ni moto chini
 
Yaani.. kuchelewesha kote uko utadhani walikuwa wanakaribiana!! hivi ndivyo ilivyo kwenye Urais vile vile..
 
.......Wamebana mwisho wameamua kuachia..,..hongera zako mkaka. Mbeya mjini mpo juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!
 
Acheni uzembe, sasa huyu zero anaenda kufanyanini bungeni au kwakua ni mkristo? Waislam mnataka wasemaje
 
Joseph Mbilinyi, known for his stage names Mr. II and Sugu and 2-proud, is one of the founders of the hip hop music scene in Tanzania. He has travelled around the world performing. He's respected among his peers for his outstanding contribution to helping the music business find its own direction. Mr. II was the first Tanzanian rap artist to have major success with his music. Through his music and language he express and addresses politics, social inequalities and other problems that affected Tanzanians. Most would consider his music as a voice for the voiceless, his brand of rap is soulful, lyrical, rhythmical and from the heart. This is because Mr. II is not afraid to tell it like it is, undertaking sensitive issues of concern to many Tanzanians such as democracy, child prostitution, police brutality and corruption... (SOURCE WIKIPEDIA).

hapo nilipoweka rangi nyekundu muhimu sana.. HONGERA KAKA!!
 
That is good....jamani hata kama urais haupo lakini hii ni hatua nzuri...kutoka wabunge 4+ hadi kwenye makumi na kitu (hata ikitokea ikawa kwenye 30,40 au hata 70 itakuwa ni hatua kubwa)...ndugu mapambano hayaishi....na tukumbuke jambo moja...."kwenye vita mtu anauwawa mara moja lakini kwenye mapambano ya kisiasa mtu anauwawa mara nyingi tu..." tusikate tamaa tuendelee kupambana....31 October ...2010,2011,2013....2020 mambo yatabadilika sana. Nina uhakika tutapata wabunge wengi tu...ngoja tusibirie uku tukiweka shinikizo la nguvu...
 
Japo nimefurahi lakini nasikitika, kwanini mpaka watu wadai matokeo ndo watangaze?? Kweli nimeamini, mgandamizaji awezi kupa haki yako mpaka huidai. Lissu, Halima, Mnyika kaza buti, hapa hakieleweki mpaka haki itendeke
 
Dah,sasa nikalale usingizi,manake nilikuwa nasubiria hizi news kwa hamu sana.hongera mh.joseph mbilinyi a.k.a sugu.
Mbeya oyeeee!
 
Back
Top Bottom