Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

Tupeni Tathimini Halisi jamani

Jimbo la Ubungo - UBUNGE: John Mnyika (CHADEMA) 66,743 Hawa Ngumbi (CCM) 50,554. Mtatiro (CUF) 12,000+. Mnyika ndio Mbunge Mteule wa Ubungo. #Tanzania #Uchaguzi
MNYIKA MNYIKA MNYIKA , TUMEMSUBURI KWA HAMU KUBWA SANA, HATIMAYE WAMETOA. ALAA!
 
Mwanasiasa kijana machachari John Mnyika wa Chadema ameshinda kiti cha ubunge Jimbo la Ubungo mkoa wa Dar es Salaam kwa kujizolea kura 66,000 na kumshinda mpinzani wake mkuu Hawa Ng'umbi wa CCM aliyejipatia kura 50,000. Mwingine katika kinyang'anyiro hicho ni Julius Mtatiro wa CUF ambaye amepata kura kiasi cha 13,000 tu.
 
Duuuuuuh, naona sasa Mnyika ataenda kulala maana jana nilimuona mpaka saa saba analinda haki yake.
 
Back
Top Bottom