CONFIRMED: January Makamba kugombea Bumbuli

Sitashangaa hata hii thread kama ni yale yale ya watu kuja hapa kumwaga kila aina ya accusations ambazo hazina hata chembe ya ukweli.

Mtumaji huku anamshutumu January na upande mwingine anajifanya ana muunga mkono. Ni yale yale ambayo tumeyaona kwenye threads zingine zinazohusiana na uchaguzi 2010. Lengo ni kujaribu kuwadanganya wana JF.

Tuletee basi picha ya vyerehani 100 maana huo ni mzigo mkubwa sana.

Mie nimelichukulia suala hili ina big picture....sio kwa January pekee...bali kwa wale woote watoao kanga, michele, sukari, pilau na mengineyo ikiwa wanajua wazi hawana uwezo wa kuongoza. Pengine dhumuni la muanzilishi wa hii thread lilikuwa ni hilo.
 
hivi kwa mshahara wa civil servant mtu anaweza kuwa na fedha za akiba za kununua chereheni mia moja za kugawa kwa wapiga kura watarajiwa?

hiyo ni rushwa ya mchana kweupe, angetoa msaada huo bila ya kuwa na mategemeo ya kuomba kura, hapo anataka kununua kura, takukuru hawayaoni haya mbona wapo kila wilaya?
 
Watanzania kweli wapumbavu. Kulikuwa hakuna hata sababu ya kumpa muda wa kusikiliza uchafu wa kijana fisadi huyo. Huyo kijana ana lake jambo na bila shaka katumwa na kundi la mafisadi, dawa yake ni kuchapa risasi ya kichwa mapema.

Huu huwa tunauita upumbavu.
 
Sitashangaa hata hii thread kama ni yale yale ya watu kuja hapa kumwaga kila aina ya accusations ambazo hazina hata chembe ya ukweli.

Mtumaji huku anamshutumu January na upande mwingine anajifanya ana muunga mkono. Ni yale yale ambayo tumeyaona kwenye threads zingine zinazohusiana na uchaguzi 2010. Lengo ni kujaribu kuwadanganya wana JF.

Tuletee basi picha ya vyerehani 100 maana huo ni mzigo mkubwa sana.

kikubwa ni kwamba JM ni mwanaJF na ana marafiki wale wanaojuana kwa vilemba hapa, tunachofanya ni kumuongoza japo sio mojakwamoja....mi nashangaa kwanini JM ameshindwa kujipanga muda wote huo aliokuwa katika nafasi aliyonayo sasa, kikubwa wanabumbuli wanacholalamika ni kwamba JM anakuja kama kibaraka, mtu aliyetumwa, na wanamjua makmba alivyojeuri na anavyoweza kuwatendea kupitia kwa mwanae...wanahisi anawezakulipiza kisasi....maana hata hivyo amewatukana sana wasambaa na kuwanyanyasa wakati wa ukuu wa mkoa wa DSM na hajawahi kufanya jambo lolote la maendeleo huko....
 
- Duh! yaaani kwa kumrushia matusi na maneno mengi yasiyo na ushahidi tunachofanya ni kumuongoza? No wonder taifa letu limekwama, maana soma hii thread nzima halafu ufuate huu ushauri wa uongozi Bwa! ha! ha!

es!
 
kikubwa ni kwamba JM ni mwanaJF na ana marafiki wale wanaojuana kwa vilemba hapa, tunachofanya ni kumuongoza japo sio mojakwamoja....mi nashangaa kwanini JM ameshindwa kujipanga muda wote huo aliokuwa katika nafasi aliyonayo sasa, kikubwa wanabumbuli wanacholalamika ni kwamba JM anakuja kama kibaraka, mtu aliyetumwa, na wanamjua makmba alivyojeuri na anavyoweza kuwatendea kupitia kwa mwanae...wanahisi anawezakulipiza kisasi....maana hata hivyo amewatukana sana wasambaa na kuwanyanyasa wakati wa ukuu wa mkoa wa DSM na hajawahi kufanya jambo lolote la maendeleo huko....

Kumbe Mzee Makamba hakuwahi kufanya lolote la maendeleo huko Bumbuli zadi ya masimango kwa wana Lushoto hasa alipokuwa RC wa Dar es Salaam na ndiyo kumbe kisa cha kumkataa kwenye sanduku la kura ktk mchakato wa maoni ndani ya CCM mwaka 1995?

Je January Makamba amefanya nini la maendeleo kwa wapiga kura wake hadi apite kwenye kura za maoni mwaka huu ktk jimbo la Lushoto?

Tafadhali mshika dau MtazamoWangu,kwa vile upo huko Lushoto niletee jibu hapa,hasa kile January alichofanya kwa maendeleo ya wana Lushoto hadi wapiga kura ndani ya CCM waamue kumpa kura zao!

Nasubiri jibu!
 
Huyu January Mtoto wa Makamba si wanaishi Dar es salaam hawa !!! Kwenda kugombea Ubunge sehemu ambazo wanajua dhahiri hawana makazi huko ni sawa na kuwadhurumu wananchi wa eneo lile haki zao za msingi. Wabunge wengi wamekuwa na Tabia chafu chafu sana. Jitu linaishi Dar es salaam lina kwenda kijijini kugombea Ubunge..Likisha pata kuonekana kule kijijini ni pale tu litakapo pata msiba wa ndugu au jamaa yake.. Kwanini watu hawa tuwape nafasi. ? Tutaamka lini na kuzijua haki zetu ? Kisa mtoto wa Makamba au mtoto wa Mkapa au mtoto wa Kikwete..nini taka taka hizo kupewa nafasi kwenye jamii ? Matokeo yake mzunguko wa ushenzi ushenzi unaendelea karne na karne kwasababu ya kurithishana madaraka..! Yes tunajua CCM ni chama Kizuri lakini kwanini CCM inawalaghai wana nchi kila kukicha ??
 
January makamba yupo soni, lushoto, jimbo la bumbuli (linaloshikiriwa na shelukindo) leo hii akijinadi kwa wapiga kura.
January ambaye alishaanza kujitangaza jimboni humo kwa kumwaga pesa na pikipiki za kampeni leo aliwasubiri watu wa soni wamalize kuswali ili apate nafasi ya kusalimia, lakini kitendo hicho kilichukiwa na wengi na wengi kuondoka bila kutaka kumsikiliza.
Jioni hii anaenda kutembelea shule mpya ya waislamu ambapo mwanzo alichangia shilingi laki moja ya ujenzi.

Safari ya january imekumbwa na vikwazo vingi kwani amekuwa akipata mapokezi mabovu moja ni vijana kukataa vifaa vya michezo kama jezi na kumuambia hawahitaji.....

Mapokezi haya mabaya ya january ambaye anasema ametumwa na raisi kuchukua jimbo hilo, yanasababishwa na chuki waliyokuwa nayo wananchi dhidi ya baba yake mzee makamba ambaye mara ya kwanza naye alitimuliwa na wananchi alipojaribu kumnadi kijana wake....

Wengi wamekuwa wakisema january hajulikani na si mwenyeji wa eneo hilo japo baba yake ni mkazi na alishawahi kugombea jimbo hilo zaidi ya mara 2 na kushindwa.

Wadau wanasema january atatumia jeri ya pesa, wakati wananchi wanasema hawadanganyiki tena......

Mzee shelukind nae amekuwa akizomewa kila anapokwenda jimboni, wananchi wamemuambia basi kwa kuwa kwenye kampeni za 2005 yeye na mke wae waliomba na kuahidi ingeuwa ni awamu ya mwisho hatagombea tena pamoja na kutofanya lolote jimboni humo.......

Naona wanajf wameshaanza kujitokeza.....je tumuunge mkono january???

Ningefurahi kupata uchambuzi yakinifu kutoka kwa wazoefu hapa janvini.....
[SIZE=
Janaury Makamba, ni Hazina ana kila sababu ya kuwa kiongozi bora na wa mfano hapa Tanzania.watu wa huko Lushoto hawanabuni kuienzi LULU hii.January usirudi nyuma una sababu zote za kuwa Mbunge wa mfano kwenye bunge lijalo. una exposure ya kimataifa nani wa mfano wako? jibu Hakuna.

hawa wanaoleta fitina hapa JF tayari wameshindwa mapema kabisa.usitishwe na hawa kwani sisi tuko pamoja nawe hatua kwa hatua bega kwa bega.
 
Kumbe zile interviews na Dewji zote zilikuwa maandalizi tu?

January Makamba ni Mkapa squared katika kujisikia.

Alishawahi kusema "A million flies cannot be wrong, they eat shit"

Akiwabeza watanzania wanaoipigia kura CCM, kwamba they get what they deserve and therefore they cannot be wrong.CCM is shit and they are happy with it. Ni maneno aliyosema publicly, wakati huo of course alikuwa anasoma George Mason.

Ni courtesan tu anayejua kupanda ngazi za court za wakubwa, kama baba yake. Lakini hamna principle wala leadership hapa.Kazi kujiuza kama msomi wakati hamna lolote.

Msomi hawezi kukubali kufanya kazi katika Ikulu ya Kikwete, maana inaharibu reputation ya watu wote wanaofanya kazi pale.

Huyu ni social ladder climber tu.
 
tuwe wakweli kidogo,wangapi wana uwezo wa kukataa offer ya kufanya kazi ikulu??au ushabiki tu?
 
SemK,

Tatizo letu ndilo hili, tuna ji limit na prevailing statistics, tuna jilimit na horizons ndogo, hatuna "Profiles in Courage" this is exactly why ninasema hakuna leadership.

Leadership inataka risk taking, inataka mtu atakayweweza kuandika katika autobiography yake kwamba mimi nilikuwa offered kazi na Ikulu ya Kikwete lakini kwa sababu tulikuwa na fundamental differences na Ikulu ya Kikwete, either nilikataa outright au nilikubali kazi lakini nilipoona jamaa ni jokers nikaomba kujiuzulu.

Hapo ndipo unaona leadership, hapo ndipo unaona audacity.Kama Obama kwa mfano, asingekuwa na hii sense of leadership angeweza kukubali kazi ya lawyerly Wall St awe analipwa a couple of hundered thousand dollars - or even couple millions- kwa mwaka, angekuwa mmoja wa lawyers tunaowaona Wall St, a dime a dozen so to speak.Lakini alikuwa na a bigger vision iliyokuwa na audacity, hata pale watu walipokuwa hawaamini kwamba mtu mweusi anaweza kuwa rais marekani yeye alijiamaini.

Sasa January kwa kukataa kujitenganisha na uozo wa serikali ya Kikwete ameamua kuji associate nayo.

Umeuliza ni nani anayeweza kukataa kufanya kazi Ikulu ya bongo, I for one wouldn't want to taint my resume with a stint at the Kikwete State House.
 
- Mkuu Januari tunataka vijana waingie kwenye uongozi, safi sana tupo tunaothamini juhudi zako za kujaribu kuingia kwenye system ili usafishe uozo, saafi sana na vijana wengine waige jamani!

- Vijana wenye wivu na msioweza ushoka poleni sana! maana sio siri ni wengi sana humu!

Respect.

FMEs!
 
Hivi kwa nini kila mtu anayekosoa awe na wivu?

Hivi mtu aliyesema "A million flies cannot be wrong, they eat shit" akimaanisha Watanzania wana deserve weak leadership,anawaheshimu Watanzania vya kutosha kupata kura zao?

Anaweza kuielezea hii kauli? Anaweza kui8nadi katika kampeni zake? Au atatuletea uzandiki ule ule wa kawaida katika siasa?
 
- Januari hajawahi kuwa kiongozi zaidi ya kua msaidizi wa Rais, kazi ambayo haimpi nafasi ya kuonyesha makucha yake, sasa anataka independence ya kuonyesha uwezo wake kiuongozi, na ni kijana kama tunavyotaka,

- Obama akiwa mdogo aliwahi kuvuta weeed, , na inawezekana Januari akiwa mdogo aliwahi kusema anything, tunachojali ni anayoyasema sasa akiwa mtumzima na anayetaka uongozi,

- Kuna tunaoheshimu sana msimamo wake wa kusimama na kugombea, bila kujali alipokuwa mdogo alisema nini au hakusema nini! ni mawazo yangu tu, ingawa sizuii yoyote asiyemtaka wka sababu alisema something huko zamani!

Respect.

FMEs!
 
Acha uwongo! mtu kwenda kwao ndio kujinadi?

Pili hebu jifunze KISWAHILI kabla ya kuja kutuandikia madudu yalojaa errors zisizoeleweka!

Hivi kwa mtu mwenye nafasi yake na aliyezaliwa kwenye familia ya Mwanasiasa na ambaye anafanyakazi ya Kiserikali kweli aende Nyumbani kwao bila kukutana na watu tena kwa nafasi yake itakuwa sawa?

Uwongo mwingine ulioegemea kwenye UDINI!

rudi tena kwa huyo anayekupa hizi taarifa kisha utuletee FACTS badala ya kuleta stori ya Kuunganisha.

Pili ukweli ni kuwa hakusubiri watu kuswali bali yeye mwenyewe aliswali na baada ya hapo waumini walimuomba kama ana lolote la kusema na akasema kuwa nafasi hiyo si yake bali ni ya Imam na baada ya Imam kuinsist na kwa mila na desturi za watu wa Pwani Mdogo kwa Mkubwa hakui na hubishi hivyo alisimama na kusalimia waumini mle ndani

Na pia alisema wazi kuwa SALAM ZAKE ZISITAFSIRIWE KAMA KAMPENI yeye kaja kuswali kama waislamwengine na mindhali leo ilikuwa Ijumaa sasa tatizo liko wapi?

Unazungumzia Piki Piki..hivi le mtu Kama ES au Mwanakijiji au Pasco akienda Kijijini kwao akatoa Computer au Baiskeli ndio atakuwa ana kampeni? kama kutoa kusaidia kwenu ni kampeni basi wengine tusingejenga zahanati na shule mbili tatu ili wananchi wapate matunda ya sie wengine kutafuta na kutumia nafasi tulizopata kuwanufaisha!

Once again umerudi na WAISLAM! lakini pamoja na hayo kutoa au kuchangia ujenzi ni jambo la kawaida...na kwa Musilam ni sawa ni kutimiza moja kati ya NGUZO 5 za uislam na pili tofauti ha huyo aliyekutuma hapa kuleta huu UDAKU, JM katoa kuchangia elimu bosi wako yeye anatoa kwa Ajili ya KIMADA WAKE pale mtaa wa ALLY KHAN!!!
Umesema amekumbwa na vikwazo vingi lakini ungeturahisishia ukatupa orodha ya Vikwazo...kwa utaratibu ufuatao:

1
2
3
4
5
6
7
8
9
10

Pili Mapokezi Mabovu yepi? Mbona Jezi na mipira zimechukuliwa? na si hivyo tuuuu infact jamaa wanalalamika kuwa JEZI za RANGI za YANGA zimekuwa nyingi kiasi cha kuwa wanataka Jezi rangi Mchanganyiko...sasa wewe hapa linalokuudhi nini?

Hivi unataka vijana waendelee ku piga NDIMU kuhu wako vifua wazi?

Ni wapi na lini JM kasema alitumwa na Rais?

Na ni lini Mzee Makamba alitimuliwa na na wananchi?

na ni lini Mzee Makamba alienda kumnaji JM?

Mjomba tuletee FACTS nasi tutakupa majibu

baseless allegations

If anything huyo aliyekutuma inaelekea hajakupa FACTS zote if anything cha ajabu hajakuambia jinsi gani naye habari zake zimeleak to the extent anachanganyikiwa. Mbona husemi kuhusu pesa za DAMU za watu alizokatiwa na zingine kaamua kuzificha kwa jamaa zake? acha hizo wewe!
You mean KIBONYEZO?

huwezi kupata uchambuzi wakati umeleta UTUMBO

lete facts au mwambie jamaa yako akupe facts then njoo

this in short IMEFAIL[/QUOTE]
GAME THEORY,without any disrespect,sioni sababu ya wewe kumtetea january makamba bila sababu yoyote ya msingi.ni wazi kabisa kuwa january anataka kugombea ubunge kwasababu anasupport ya baba yake na watwana wengine ndani ya ccm.ccm wanachofanya sasahivi ni kujaribu kurithisha madaraka kwa ndugu zao ili wasije kushtakiwa hapo baadae kwa makosa wanayoyafanya.wanajua kwamba wakiweka watu wao madarakani watawatetea kwa namna yoyote ile hapo baadae..kila mtu mwenye akili timamu anajua hili na unapotokea hapa(game theory) JF na kumtetea mtu flani kwasababu tu ni mshkaji wako au amekuahidi ulaji flani baadae unakuwa unapotosha watu na kupindisha ukweli wa mambo.huwezi ukaja hapa na kusema kuwa january hakugawa pikipiki au vitu vingine kwa wananchi pale anapogombea,kwasababu utakuwa unatudanganya wana JF na kutufanya sisi sote ni wajinga.wote hapa tunaelewa mbinu wanazotumia wagombea wa ccm ili kuchaguliwa sasa wewe unapokuja na kudai mtu atoe vithibitisho ni usanii mtupu.huyo january alikuwa wapi siku zote mpaka leo ndio anajidai kwendakusali msikiti wa hilo jimbo analogombea?kwanini asingekwenda kabla yanyakati za uchaguzi?hizo jezi alizotoa kipindi hichi kwanini asingetoA kabla?inamaana sasa hivi wakati wa uchaguzi ndio amegundua timu za huko hawana jezi?eti katoa lakimoja tuuu kwaajili ya ujenzi wa shule na huku kagawa pikipiki kwa watu ili wamsaidie kwenye kampeni..lol..pikipiki moja ni zaidi ya dola 500.sasa huyu dogo anatoa mchango shuleni wa dola kama 90 tuu kusaidia ujenzi wa shule na huku kwingine anatoa pesa zaidi ya mara sita ya mchango wa shule ili kuhonga watu wamsaidie kupata ubunge...KWA WANA JF SITEGEMEI KAMA KUNA MTU TEYOTE ANAWEZA KUMSUPPORT MTU KAMA HUYU.KAMA YUPO BASI SHAME ON YOU!!!TUFIKIRIE ZAIDI KUHUSU WALE WANANCHI MASKINI AMBAO WANADANGANYIKA KUTOKANA NA MATATIZO YAO YA KIMAISHA NA TUACHE KUFIKIRIA KUTETEANA BASI TU KWASABABU YA USHKAJI..
 
January Makamba = More of the same.

'We want a lickle ghetto yut with some bright ideas" -Shaggy, It Bun Me.
 
Kumbe Mzee Makamba hakuwahi kufanya lolote la maendeleo huko Bumbuli zadi ya masimango kwa wana Lushoto hasa alipokuwa RC wa Dar es Salaam na ndiyo kumbe kisa cha kumkataa kwenye sanduku la kura ktk mchakato wa maoni ndani ya CCM mwaka 1995?

Je January Makamba amefanya nini la maendeleo kwa wapiga kura wake hadi apite kwenye kura za maoni mwaka huu ktk jimbo la Lushoto?

I am amazed at all the open hostilities directed against this young man – Januari Makamba – who, as far as I know, has done absolutely nothing wrong to deserve such thinly veiled personal attacks. He is not an MP yet, but the heavy guns have been turned against him already demanding to know what he has done for Bumbuli.

As a practical matter, that question should be directed to the incumbent MP, if anyone. Bumbulians should ask, (make that demand to know) what the current MP has done for Bumbuli and furthermore, what he is planning to do if the voters elect him to server for another five year term. It is the right thing to do. As an incumbent MP, he now has a record to defend and should therefore bear the full brunt of these ad hominem attacks, not young Januari Makamba.

If the Hon MP fails to defend his record to the satisfaction of Bumbulians, that should be sufficient grounds to send him packing with his tail between his legs and give the young man or someone else a crack at Mjengoni. Five years from now, the shoe will be on the other foot; Januari should be subjected to the same scrutiny. That’s the way it should be from now on. The Tanzania electoral landscape has metamorphosed. The days when MPs used to take their voters for granted by making empty promises and sugar-coating their record, are now a historical footnote. A new paradigm is now gaining traction: we expect our Hon MPs to earn their stripes like everybody else in real life.

Young (and smart) Januari does not have to have done anything for Bumbuli to be considered a suitable candidate for the Parliamentary seat; if he has, that should be the icing on the cake. When campaigning begins, he should only be required to articulate his vision to his constituency and the legacy he wants to leave behind after serving. If that is consistent with Bumbulians wishes and expectations, that is all that matters, period.

By the way, the same logic and courtesy should be extended to candidates running in other constituencies such as (are you ready for this?) Kyela, where, as you may all vividly recall, Mwakalinga quickly became a target of much vitriol and brouhaha from supporters of the incumbent MP the moment he had the cheek or chutzpah to declare his intention to run in this year’s Parliamentary elections. We in JF are like inveterate cannibals; eating our own kind is quickly becoming a favorite JF pastime!
 
Back
Top Bottom