Confirmed: It is possible to love 2 people at the same time!

sasa ushasema when one of them is slow to love u back which means...baada ya kutokuwa loved back ndo unakwenda kwa mwengine...au upendo unahamia kwa mwengine...ila point ya msingi ni huwezi kugawa moyo 50% kwa monica na 50% kwa amina...upo hapo...

According to Tarzan Law, there is simultaneity - hii hutokei pale Tarzan anapokuwa kati ya matawi mawili ya miti miwili
 
FP una akili sana. Mimi nilitaka kujaribu tu kwingine kwa kuanza na dating. Aisee yaani nilipokuwa naye kma mitoko miwili, hata cmu ya kipenzi changu nilianza kuiona zito kweli. Nikasema shetani huyu anataka kuniteka. Tangia siku hiyo sihitaji kufikiria mpenzi na wala kufukuzia mwanamke mwingine kwani inaweza kuleta shida katika mahusiano. I LOVE SO MUCH MY WIFE.

Kwa hiyo huyo mwingine ulikuwa humpendi? Ulikuwa unamtamani tu?

"I love my wife...I think I love my wife" - A Comedy on Love
 
As long as you entertain pluralism, why only 2? It's not like you are going to mete out your love on a kilogram scale.
 

Kwa njia zote mbil either subtution or elimation...


kwanza lazima utauwa variable moja( 1 ), utabaki na moja( 1 )...


then "Love is for One Woman-Man".


da ila hadi ufike kwenye "then"!

ps. pia kuna gaussian elimination
 
there is no love,its just the matter of satisfying your needs,so if two are fit to satisfy you then well and good
 
Companero wajua kuwa muda mwingine You may only be one person to the world, but you may also be the world to one person and other person and .................................... MWISHO WA SIKU JIULIZE TUKO WANGAPI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom