Confirmed: It is possible to love 2 people at the same time!

Inawezekana kupenda hata 20 kwa wakati mmoja...but it depends on your 'definition' of love (kupenda)!

hebu toa definition yako ya love tuipime (kiimpirikali/kisayansi) tuone kama inaruhusu kupenda zaidi ya mtu mmoja kwa wakati mmoja, rhuksa kuigawa definition yako katika mafungu yafuatayo:

1. emotion/feeling/heart

2. decision/rational/mind
 
Companero ume-confirm vipi kuwa unaweza kupenda wawili kwa wakati mmoja?

Au ni tajriba binafsi?
 
Last edited by a moderator:
Punguza jazba, naona sasa unaleta longolongo za 'kujifunza', haya mambo ya kujifunza kupenda ni uongo na matokeo yake ni kukaa na watu tusiowapenda kisa tunadhani tutajifunza; kupenda ni kupenda, hujifunzi kupenda - unapenda.

nakubaliana nawe kwenye kujifunza kupenda:mtu hajifunzi kupenda it comes naturally ukisema wajifunza kumpenda sm1 wajidanganya tu!
 
Mimi nakubali inawezekana kupenda watu 2 kwa mpigo!!!!!!!!! Basisi ya upendo ni kupenda cetrain habits na traits za mtu husika then ndo kumpenda yeye. Na hakuna mtu anependa 100% za partner wake. There are always traits that will turn you off japo majority umezkubali. Hii ni result ya NO BODY IS PERFECT! Na ukweli kuwa ili umkubali mtu kuna mambo uliyokuwa wayaitaji kwa tu ila umeya trade off baada ya kuridhishwa na ubora wake kwenye baadhi ya mambo. Sasa ukiwa mbishi wataka vyote na hakuna mwenye vyote ndo wamiliki watu 2 kuleta equilibrium moyoni mwako.

Mimi napenda mtu goodlooking, Msomi, Good Job, Big Inheritance, Big businesses, Smart, Mama mkwe mpole, God fearing,Aiepende my family, Mkarimu, Wise, Matured, etc sasa mtu wa hivi HAKUNAGA!!!!!!!! Ndo unachukua 2 people zenye nusu nusu ya hivi.
 
Aaa si nilishakuambia hizo tajriba binafsi hutokea/hufanyika kitandani alfajiri, hili la kuthibitisha ni la kisayansi zaidi

Kumbe ni tajriba za kulala na kuota eee?!

Hala hala yasijekukuta kama yaliyomkuta huyu:

Alilalaa akaota, mimi naye tumekaa
Alipoamka akanita, furaha imemjaa
Hakujua maskini, ndoto imemhadaa

Ndoto imemhadaa, siri imejulikana
Hakujua maskini, imemjaa fadhaa
 
hili shairi ni tamu ila nimekuambia hii si tajriba ya alfajiri, hapa ni usiku na uthibitisho ni wa kisayansi, kuna vifaa vya kupima kuanzia heart beats hadi pupil dialysis na acetylcholine emission when a person is exposed, at different intervals, to 2 people he/she ostensibly love
 
ukiona unajifunza kumpenda mtu bac kinachofanyika unatafuta sm qualities alizonazo then wafall nazo in love then unazitumia kum- accept na kujustify kuwa wampenda

kwenye empirical studies hii kitu tunaiita fitting the model au kwa lugha rahisi, kulazamisha mambo!
 
hili shairi ni tamu ila nimekuambia hii si tajriba ya alfajiri, hapa ni usiku na uthibitisho ni wa kisayansi, kuna vifaa vya kupima kuanzia heart beats hadi pupil dialysis na acetylcholine emission when a person is exposed, at different intervals, to 2 people he/she ostensibly love

La haula, kumbe Wazungu mshapima tayari!

Sasa hiyo ndio ticket ya watu kuwa na nyumba ndogo na wake wanne wanne.

Maana utaulaumu vipi mtu kwa kilichotokea moyoni mwake?

Hata hao washairi wameshindwa kujua wa kumlaumu baina ya moyo na macho la katu si mwenye vyote viwili

Moyo umesalitika, na sababu macho yangu
Tena nnayakinika, nidirikini wenzangu
Mwisho nitafedheheka, kupenda kitu si changu
Nilaumu moyo wangu au moyo nambieni

Ila suala la msingi, ni jee kwa sababu mapigo ya moyo, na pupils dilation walipopita "wapenzi" wote wawili, yote ni mapenzi? Tunatofautishaje kupenda na kumtamani, na kumtaka
 
Mimi nakubali inawezekana kupenda watu 2 kwa mpigo!!!!!!!!! Basisi ya upendo ni kupenda cetrain habits na traits za mtu husika then ndo kumpenda yeye. Na hakuna mtu anependa 100% za partner wake. There are always traits that will turn you off japo majority umezkubali. Hii ni result ya NO BODY IS PERFECT! Na ukweli kuwa ili umkubali mtu kuna mambo uliyokuwa wayaitaji kwa tu ila umeya trade off baada ya kuridhishwa na ubora wake kwenye baadhi ya mambo. Sasa ukiwa mbishi wataka vyote na hakuna mwenye vyote ndo wamiliki watu 2 kuleta equilibrium moyoni mwako.

Mimi napenda mtu goodlooking, Msomi, Good Job, Big Inheritance, Big businesses, Smart, Mama mkwe mpole, God fearing,Aiepende my family, Mkarimu, Wise, Matured, etc sasa mtu wa hivi HAKUNAGA!!!!!!!! Ndo unachukua 2 people zenye nusu nusu ya hivi.

Lala1 na vigezo vyako bwana .oyoyo oyoyo oyoooo yooo
 
mpaka dakika hii wapinzani wa thibitisho hawataki kutuambia kupenda ni nini hasa? je, ni hisia? kama ni hisia, kweli huwezi kuwa na hisia kwa zaidi ya mtu mmoja? ama ni uamuzi? kama kweli ni uamuzi huwezi kuamua kuhusu zaidi ya mtu mmoja? pengine ni kujitoa? kama ni kujitoa basi je huwezi kujitoa kwa zaidi ya mmoja?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom