sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Usintishe bana...........Mwanafunzi mwanafunzi tu
He hehe hehe kuna wanafunzi wengine vichwa vyao vyepesi.....akielewa kidogo tu anamgeuza mwalimu mwanafunzi!
Usintishe bana...........Mwanafunzi mwanafunzi tu
Aliyebeza Kiranga kiingereza kupanga kateleza kaa Vanga.
Hii ni nahau au methali!
Nikukumbushe tu Simbiko haisimbuki ila kwa msukosuko!
Labda mwalimu awe wa kichina sio mimi mwana wa Umsolopogazi..........unawajua Wagagagigigoko
Nadhama ndio nini?
Nikukumbushe tu Simbiko haisimbuki ila kwa msukosuko!
nadhama= tungo, hususan iliyoshiba ushairi.
Utawapata kwenye darsa...hapa kwenye mnakasha tutaharibu ladha
Wewe acha kabisa lila na fila hazitangamani
kama mmeshindwa mtaja mie namtaja, kwanza avatar yake imekaa up side down, pili mwandiko wake mbaya kama wa bata atoka ogelea. . . tatu na mwisho anapenda kuandika huku kachutama. si nimepatia?????
Unafikiri ikiwa usiku ndio kazi hafanyi....thubutu kutaja jina uone