Elections 2010 CONFIRMED: Bukombe yaenda Chadema... Prof. Kahigi ndani

NIMEONGEA NA JAMAA YANGU YEYE ALIKUWA WAKALA AMESEMA prof .Kahigi katangazwa mshindi MAJIRA YA SAA 10.00

Sasa hivi tunandaa shehere ya kufa mtu tumechinga ng'ombe 4 kwa ajili ya kitoweo cha wapendwa wapiga kura.Hii ni taarifa ya uhakika maana mimi niko mji mdogo wa Runzewe ila makao makuu ya wilaya yako mji wa Ushirombo. kwa hiyo niko mbali kidogo ndiyo tunamsubili prof.na wapambe wake wanatokea huko halmashauri.kumbukeni Prof.anaishi mji wa Runzewe

Hizi ni taarifa za uhakika wala msiumize vichwa nitawaletea idadi ya kura nikizipata
BADO SHINYANGA MJINI NASIKIA MAKAMBA YUKO HUKO ANALAZIMISHA MATOKEO YATANGAZWE.CHADEMA KATANGAZWA KIKWETE AKAPINGA JANA ALIKUJA USIKU KUSHINIKIZA.nimeambiwa SLAA YUKO HUKO SHY TOWN
 
God is one, God is Great!!!! This was the chanting sound when the Hebrews were freed from bondage from ancient Egypt. History will repeat itself in Tanzania
 
bukombe imetekwa na chadema, me nimeongea nao rafiki angu minengo:israel: kura 19000 kwa 11000
 
Hizi round-figures vipi?
Aneweiz, asante sana Mkuu!
Tunaifanyia kazi zaidi!
Peoplessssssssssssssssssssssssss!
 
bora wasukuma tumechoshwa na mafisadi,umasikini ndo wetu ili hali tuna madini chungu nzima.
 
NIMEONGEA NA JAMAA YANGU YEYE ALIKUWA WAKALA AMESEMA prof .Kahigi katangazwa mshindi MAJIRA YA SAA 10.00

Sasa hivi tunandaa shehere ya kufa mtu tumechinga ng'ombe 4 kwa ajili ya kitoweo cha wapendwa wapiga kura.Hii ni taarifa ya uhakika maana mimi niko mji mdogo wa Runzewe ila makao makuu ya wilaya yako mji wa Ushirombo. kwa hiyo niko mbali kidogo ndiyo tunamsubili prof.na wapambe wake wanatokea huko halmashauri.kumbukeni Prof.anaishi mji wa Runzewe

Hizi ni taarifa za uhakika wala msiumize vichwa nitawaletea idadi ya kura nikizipata
BADO SHINYANGA MJINI NASIKIA MAKAMBA YUKO HUKO ANALAZIMISHA MATOKEO YATANGAZWE.CHADEMA KATANGAZWA KIKWETE AKAPINGA JANA ALIKUJA USIKU KUSHINIKIZA.nimeambiwa SLAA YUKO HUKO SHY TOWN
Habari sana nawapongeza sana watu wa Mkoa wa Shinyanga na Kigoma kwa kazi nzuri. Mabadiliko yako hewani nchi yetu katu haitakuwa kama ilivyokuwa inatawaliwa miaka 25 iliyopita.
 
figure; Chadema arround 19, 000
CCM; arround 11,000
please view itv now they are showing the figures
 
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Kanda ya Ziwa.
Wahaya wamenitia haibu. Siendi Bukoba mpaka miaka mitano iishe. Nikienda huko nitawatukana bure wakianza kunieleza shida zao. Sijuhi wamechagua CCM kwa kulidhika na nini?
 
Back
Top Bottom