Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 310
Ivi statistically, mgombea urais lazima awashinde wenzie kwa percentage ngapi? Nikiangalia statistically, kama results zina 95% confidence interval...ina maana kuwa lazima ashinde by more than 5% of total votes?
Kwa hiyo kwa Tanzania...kama voters wako mil 19, je ni lazima mgombea ashinde kwa zaidi ya kura laki 9 na nusu - 950,000?
Au inakuwaje hii wakuu?
Kwa hiyo kwa Tanzania...kama voters wako mil 19, je ni lazima mgombea ashinde kwa zaidi ya kura laki 9 na nusu - 950,000?
Au inakuwaje hii wakuu?