Ushuhuda: Madhara mbalimbali ya Vidonge vya Uzazi Wa Mpango

madhara inategemea na mwili wa mtu, mimi sindano zilinifanya nikae bila kublee for 5 yrs coz nilikuwa sitaki kuzaa nikaona poa, nilipozaa last born 03 nikaamua kufunga kizazi ila kwa sasa kiuno kinanisumbua mno.
yote hiyo ni kwa sababu binaadamu anajifanya mtaalam kumzidi muumba.
 
Mie nilijaribu kuweka vijiti..plants ooh my god nilikaa navyo mwaka mmoja wa mateso
Nilikonda na hivi nilikuwa nimetoka kujifungua nikawa naambia huyo FL1 si bure labda kishaukwaa
Mbali na hapo nilikuwa natapika asubuhi na jioni kila siku
Headache ilikuwa ndo ugonjwa wangu nikasema kisa nini
Hebu nivitoe na nifate kalenda kuepukana na haya majanga ya watu wa marekani nikishindwa kabisa ..inabidi kutumia DUME....
:poa
Sasa niko ok afya bora usipime ,
 
naanzaje kurudia best!hapa sa hizi kikitiki nnapiga wawili faster,si utakuja kunisaidia kubadilisha pampers?lol!
mimi ni mume msikivu siku hizi mimi na wife tunatumia mpira muda mrefu sasa,kwa sababu kipindi fulani wife alikuwa anatumia sindano lakini baada ya muda fulani kumbe ameshika mimba,sasakulingana na tabia ya hizi njia akawa hajui kama ana mimba na ukizingatia ni mnene hivyo akiwa na hamira unaweza usijue.mpaka miezi mitatu hatujui kitu kwenda kutaka kuchoma tena doctor akamwambia mbona mambo tayari aisee nilichoka.jambo jingine zinaharibu mlango wa utamu maana unajaa maji sana halafu hata kama mwanamke hana mimba wengine hujihisi hisia za mimba mimba.bila utaalamu katika hali ya kawaida tu mwili wa mwanamke umeumbwa kutoa ule uchafu kila mwezi wewe ukauzuie kwa miaka au miezi ni hatari kwa kweli.madhara makubwa kabisa ni kuongezeka kwa kansa za vizazi na matiti.ntarudi tena ikibidi ila pole sana.
 
amina ndugu yangu si unajua kila siku twajifunza kupitia wengine!mi nimekuwaje mkali siku hizi nikisikia mtu ndo anataka kuanza kutumia huwa natoaje lecture!kwa kweli nisingependa mwingine apitie hili jamani it is too hurting,hasa ikifika wakati unataka kuzaa tena!imagine mtoto wangu wa pili ana miaka saba sasa!

pole sana dearest, naliwahi kutumia vidonge, vilininenepesha sana sana, wakati nilipoamua kuziacha nilikoma mwenyewe, hiyo period ilikuwa sio ya kuelezeka, ilikuwa inamwagika na zikawa ni siku 10-15,siku zangu ni 3 tu, niliogopa mbaya, nilivyoenda hosp wakaniambia hiyo hali itaasha yenyewe baada ya muda fulani, ilikaa miezi 6 ikaisha na mzunguko wangu ukaanza kwenda sawa, nilikoma kabisa.
 
mimi ni mume msikivu siku hizi mimi na wife tunatumia mpira muda mrefu sasa,kwa sababu kipindi fulani wife alikuwa anatumia sindano lakini baada ya muda fulani kumbe ameshika mimba,sasakulingana na tabia ya hizi njia akawa hajui kama ana mimba na ukizingatia ni mnene hivyo akiwa na hamira unaweza usijue.mpaka miezi mitatu hatujui kitu kwenda kutaka kuchoma tena doctor akamwambia mbona mambo tayari aisee nilichoka.jambo jingine zinaharibu mlango wa utamu maana unajaa maji sana halafu hata kama mwanamke hana mimba wengine hujihisi hisia za mimba mimba.bila utaalamu katika hali ya kawaida tu mwili wa mwanamke umeumbwa kutoa ule uchafu kila mwezi wewe ukauzuie kwa miaka au miezi ni hatari kwa kweli.madhara makubwa kabisa ni kuongezeka kwa kansa za vizazi na matiti.ntarudi tena ikibidi ila pole sana.

nimependa hapo, sisi wengine kutamka hilo neno mpira hatueleweki,napambana na calendar kivyangu vyangu, yeye akija akute chakula chake kimeiva...
 
kalenda ni nzuri sana mdogo wangu ila sasa inatakiwa mume awe mwelewa sana
mara nyingi asiwe yule mume maamri,utii bila shuruti(nafkiri umenielewa)mume rafiki ndo mtaweza kifanya hii
msiwe watu wa kilevi kusema ukweli
na mara nyingi muwe ni watu mnaoishi pamoja zile ndoa za mume mtwara mke shinyanga zile kwa kalenda lazima mchemshe!
otherwise kalenda ni boooooonge la method,yani raha ajabu!

hapo ndio paliposababisha mtoto wangu wa pili, wote tulicheza rough coz ya kupombeka.
 
Mi nilipojifungua mtoto wangu wa pili mwaka 2005 nilichoma sindano fasta,zile za miezi mitatu!weh!nilikuwa mkavu mfano hakuna !yani full kukauka jamaa akijionea cha kufia nini!TUPA KULE!
zilivousha muda wake sikuchoma tena
lakini sikuwa na amani nikaenda tena hospitali
nikaambiwa vijiti ni poa
nikaweka vyenyewe havikuwa na shida ile ila sasa nilinenepaje!yani kilo 90 ilikuwa ndo wimbo wa taifa!nilikaa nazo miaka 3 nikaona mh!hebu nivitoe basi nikatoa mwaka 2009,since niliona imetosha nataka kuongeza mtoto
mh mpaka leo hakuna cha kuconcieve wala nini!imenisumbuaaa lakini mwisho nimeshakubali matokeo!nasubiri tu itakapompendeza YEYE!
though najua nilishaharibu cycle yangu kwa kuweka hayo mavitu lakini karibu mwaka sasa imekaa sawa!so naamini kitatiki tu Mungu bariki!
ila kusema ukweli haya madude sio mazuri basi tu watu tunapenda short cut kwenye kila kitu!kutumia kalenda ndo mpango mzima since
-inaongeza ukaribu wa wanandoa(how sweet kusubiriana):biggrin:
-inamsaidia mwanamke kujitambua mwili wake
-inaongeza kiwango cha kuwajibika
-inampa mwanamke na mwanaume utashi juu ya miii yao!

Pole sana mamy Haya makitu yana madhara sana sijui kwa nini huwa hawasemi ukweli
Zaidi wanasisitiza uzazi wa mpango ni salama kumbe si salama
Kuna dada Mmmoja yaani miaka yake yote tulizoea kumuita miss
Sasa anatumia vidonge kanenepa nadhani zamani alikuwa na kilo 55-60 sasa navyomuona itakuwa 100 kabisa
Na presha kapata .
Ni juu ya nini jamani?
 
wenyewe wana kamsemo kao eti ZINA MAUDHI MADOGO MADOGO!
 
Pole sana mamy Haya makitu yana madhara sana sijui kwa nini huwa hawasemi ukweli
Zaidi wanasisitiza uzazi wa mpango ni salama kumbe si salama
Kuna dada Mmmoja yaani miaka yake yote tulizoea kumuita miss
Sasa anatumia vidonge kanenepa nadhani zamani alikuwa na kilo 55-60 sasa navyomuona itakuwa 100 kabisa
Na presha kapata .
Ni juu ya nini jamani?

nadhani zile ni dawa za kunenepesha aisee, mie nilinenepa mtumbo huo, kwa sie wengine wa kinywaji/nyama choma/mbuzi katoliki ndio inakuwa balaa kabisa kabisa.
 
usijaribu kamwe.

Imezingatiwa.. Lkin nayo kalenda ni balaa kwa wenye siku zisizo na mpangilio...Si unajua sometimes wanawake wengi huwa tunabadilisha ghafla kutokana na mazingira au kitu chochote??
btw..mbona umepotea hivo?shemeji kaigundua ID yako nini?
 
Mi nilipojifungua mtoto wangu wa pili mwaka 2005 nilichoma sindano fasta,zile za miezi mitatu!weh!nilikuwa mkavu mfano hakuna !yani full kukauka jamaa akijionea cha kufia nini!TUPA KULE!
zilivousha muda wake sikuchoma tena
lakini sikuwa na amani nikaenda tena hospitali
nikaambiwa vijiti ni poa
nikaweka vyenyewe havikuwa na shida ile ila sasa nilinenepaje!yani kilo 90 ilikuwa ndo wimbo wa taifa!nilikaa nazo miaka 3 nikaona mh!hebu nivitoe basi nikatoa mwaka 2009,since niliona imetosha nataka kuongeza mtoto
mh mpaka leo hakuna cha kuconcieve wala nini!imenisumbuaaa lakini mwisho nimeshakubali matokeo!nasubiri tu itakapompendeza YEYE!
though najua nilishaharibu cycle yangu kwa kuweka hayo mavitu lakini karibu mwaka sasa imekaa sawa!so naamini kitatiki tu Mungu bariki!
ila kusema ukweli haya madude sio mazuri basi tu watu tunapenda short cut kwenye kila kitu!kutumia kalenda ndo mpango mzima since
-inaongeza ukaribu wa wanandoa(how sweet kusubiriana):biggrin:
-inamsaidia mwanamke kujitambua mwili wake
-inaongeza kiwango cha kuwajibika
-inampa mwanamke na mwanaume utashi juu ya miii yao!

Mi kama wewe nilichoma sindano nikawa mti mkavu sikurudia tena njia zaidi ya kalenda
 
Imezingatiwa.. Lkin nayo kalenda ni balaa kwa wenye siku zisizo na mpangilio...Si unajua sometimes wanawake wengi huwa tunabadilisha ghafla kutokana na mazingira au kitu chochote??
btw..mbona umepotea hivo?shemeji kaigundua ID yako nini?

na kwa sisi watu wa kinywaji, ni ngumu sana, inabidi wakati mwingine ukisikia "anakuja" unajichomoa aisee.lol, but tunakomaa nayo, starehe itanoga siku salama zinazoeleweka, ndio narudi hivyo my dearest, nilibanwa kidogo, msukuma hatakaa ajue hii ID maisha yake...hahaha nani wa hivyo.
 
mbona mwatuogopesha?nilikuwa situmii chochote nimjifungua 2009, 2010 na sasa ninategemea kujufungua baby no 3 early 2013.Nimeapa nikijifungua tu this time naweka kijiti kabisa liwalo na liwe.Nimeona nitafikisha timu ya mpira hivi hivi
 
Tuelimishane. Si kina baba tunaowatakia mema wake zetu tuzifuate vipi hizi kalenda? Ama mahesabu yanakuwaje?
 
Back
Top Bottom