Ushuhuda: Madhara mbalimbali ya Vidonge vya Uzazi Wa Mpango

Hawa ni wale walioshauriwa kwenye vituo vya afya na kupata madhara hayo,Soma snowhite alivyo confes,tuache siasa yapo yamekukuta..

Mkuu kushauriwa katika kituo cha afya HAIMAANISHI MADHARA(SIDE EFFECTS) za dawa hazitakuja, muhimu ni kujua lini zitakuja na utakabiliana nazo vipi.

-Anyway ngoja tusubiri waliotumia labda, labda mkuu.
 
madhara inategemea na mwili wa mtu, mimi sindano zilinifanya nikae bila kublee for 5 yrs coz nilikuwa sitaki kuzaa nikaona poa, nilipozaa last born 03 nikaamua kufunga kizazi ila kwa sasa kiuno kinanisumbua mno.

Kuna siri kubwa sana kwenye dawa hizo..kuna ajenda yao ya siri au mungu ameamua kuwatandika watu viboko
 
Snowhite, confession yako imenigusa sana. Pole dadangu. Ila nakushauri kitu kimoja. Kazana sana kunywa juice ya karot kila siku. Itakusaidia kupunguza hatari za kansa na vitu jamii hiyo.

Na maji ya vugu vugu angalau lita 1 kila uamkapo ..
 
Mi nilipojifungua mtoto wangu wa pili mwaka 2005 nilichoma sindano fasta,zile za miezi mitatu!weh!nilikuwa mkavu mfano hakuna !yani full kukauka jamaa akijionea cha kufia nini!TUPA KULE!
zilivousha muda wake sikuchoma tena
lakini sikuwa na amani nikaenda tena hospitali
nikaambiwa vijiti ni poa
nikaweka vyenyewe havikuwa na shida ile ila sasa nilinenepaje!yani kilo 90 ilikuwa ndo wimbo wa taifa!nilikaa nazo miaka 3 nikaona mh!hebu nivitoe basi nikatoa mwaka 2009,since niliona imetosha nataka kuongeza mtoto
mh mpaka leo hakuna cha kuconcieve wala nini!imenisumbuaaa lakini mwisho nimeshakubali matokeo!nasubiri tu itakapompendeza YEYE!
though najua nilishaharibu cycle yangu kwa kuweka hayo mavitu lakini karibu mwaka sasa imekaa sawa!so naamini kitatiki tu Mungu bariki!
ila kusema ukweli haya madude sio mazuri basi tu watu tunapenda short cut kwenye kila kitu!kutumia kalenda ndo mpango mzima since
-inaongeza ukaribu wa wanandoa(how sweet kusubiriana):biggrin:
-inamsaidia mwanamke kujitambua mwili wake
-inaongeza kiwango cha kuwajibika
-inampa mwanamke na mwanaume utashi juu ya miii yao!

pole sana mkuu snowhite Mungu na akujaalie lakini usirudie tena.
 
Last edited by a moderator:

asante kwa kushare,kweli nazidi kuogopa,mm ndo nimepata mtt wa kwanza juz kati nilijishar sn kwenda clinik mpk nikahairisha khs hivo vtu,sasa nimeambiwa loop ni nzuri vp hiyo?mm naiogopa hata kalenda,sasa tumeishia kutumia mipira na mume wangu
 
mie sijazitumia ila niliwahi kutaka kwenda kuzitumia...lakini kwa jinsi ninavyoona madhara yake - dada mmoja alioza mkono ukawa unatoa hadi wadudu kisa vijiti sijui! mwingine kanenepa balaa jiuso kama nyau wa kizungu....mwingine sasa mume anataka mtoto wa pili mdada kaacha kutumia almost mwaka lakini bado hajashika mimba.....ugomvi sana!!! ila huyu binti yeye anagongwa sana nje....na alimdanganya muwewe kaacha muda mrefu!!! (nafikiri pia zinaongeza kasi ya kugongana hizi)

baaas! nikasema wacha tu niyakabili hayo magoli!!!

nashukuru sijafanya kosa bado..............!!!!
 
Snowhite, confession yako imenigusa sana. Pole dadangu. Ila nakushauri kitu kimoja. Kazana sana kunywa juice ya karot kila siku. Itakusaidia kupunguza hatari za kansa na vitu jamii hiyo.
ahsante mkuu!
ahsante pia kwa ushauri wako am working on it plus kunywa na maji nusu lita kila siku asubuhi!
 
ubarikiwe sana kwa ushuhuda huu, umetupa elimu kubwa.

amina ndugu yangu si unajua kila siku twajifunza kupitia wengine!mi nimekuwaje mkali siku hizi nikisikia mtu ndo anataka kuanza kutumia huwa natoaje lecture!kwa kweli nisingependa mwingine apitie hili jamani it is too hurting,hasa ikifika wakati unataka kuzaa tena!imagine mtoto wangu wa pili ana miaka saba sasa!
 
asante kwa kushare,kweli nazidi kuogopa,mm ndo nimepata mtt wa kwanza juz kati nilijishar sn kwenda clinik mpk nikahairisha khs hivo vtu,sasa nimeambiwa loop ni nzuri vp hiyo?mm naiogopa hata kalenda,sasa tumeishia kutumia mipira na mume wangu

kalenda ni nzuri sana mdogo wangu ila sasa inatakiwa mume awe mwelewa sana
mara nyingi asiwe yule mume maamri,utii bila shuruti(nafkiri umenielewa)mume rafiki ndo mtaweza kifanya hii
msiwe watu wa kilevi kusema ukweli
na mara nyingi muwe ni watu mnaoishi pamoja zile ndoa za mume mtwara mke shinyanga zile kwa kalenda lazima mchemshe!
otherwise kalenda ni boooooonge la method,yani raha ajabu!
 
Back
Top Bottom