Ushuhuda: Madhara mbalimbali ya Vidonge vya Uzazi Wa Mpango

katika maisha ya sasa inaonekana wanawake wengi wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo la mpango je inawezekana tukawa tunafunga sisi wanaume badala ya wanawake?
 
Kaka inawezekana saana mwanaume kufunga uzazi tena bila kupata madhara yeyote. Mimi mwenyewe nina mpango wa kufanya hivyo kwani tayari nina watoto saba kwa wake saba.
 
nimejikuta nacheka kutokana na haya maneno yako
 
Nina rafiki yangu wa kiume ambaye ana mkewe walishauriana kuchoma sindano za uzazi wa mpango tangu sindano hiyo kuisha muda wake tarehe 3 mwezi 7 hajaona siku zake hadi leo.

Ingawaje hupata dalili zote za tumbo kumuuma sana miguu lakini hazimfikishi kuona siku zake .

Nawasilisha kwenu kwa ushauri au njia za ufumbuzi wa hilo tatizo.

Asanteni.
 
Hizo dawa siyo nzuri. Side effect yake ni mbaya yaweza kukugharimu. Na hayo maumivu yawezekana ni reaction za dawa hizo. Tumieni kalenda plus uvumilivu
 
Watu hawaelewi kila siku mnaambiwa madhara ya haya madudu nyie mnang'ang'ana tu. Mungu katoa danger dates chache tu katika mzunguko wa mwanamke inamaana nyie mnafanya kila siku? Wanaume wahurumieni wake zenu na nyie.wanawake mjihurumie kha!
 
Nina rafiki yangu wa kiume ambaye ana mkewe walishauriana kuchoma sindano za uzazi wa mpango tangu sindano hiyo kuisha muda wake tarehe 3 mwezi 7 hajaona siku zake hadi leo.

Ingawaje hupata dalili zote za tumbo kumuuma sana miguu lakini hazimfikishi kuona siku zake .

Nawasilisha kwenu kwa ushauri au njia za ufumbuzi wa hilo tatizo.

Asanteni.

Ana umri gani huyo shemeji
Tiba ipo dose yake ni ya miezi mitatu tuwasilieane.+255 0714206306
 
Nina rafiki yangu wa kiume ambaye ana mkewe walishauriana kuchoma sindano za uzazi wa mpango tangu sindano hiyo kuisha muda wake tarehe 3 mwezi 7 hajaona siku zake hadi leo.

Ingawaje hupata dalili zote za tumbo kumuuma sana miguu lakini hazimfikishi kuona siku zake .

Nawasilisha kwenu kwa ushauri au njia za ufumbuzi wa hilo tatizo.

Asanteni.
Dawa ya kumtibu ili apate siku zake anitafute mimi ninayo hiyo dawa akihitaji huduma yangu bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Aisee hii balaa,kwahiyo Kama mtu alitumia hizo njia za uzazi wa mpango kisha baadae akaachana nazo na kuamua kuzaa linapokuja swala la kutotungwa kwa mimba inawezekana sababu ni hivyo vidonge au sindano je afanyeje ili apate mimba?
 
Duuuhhh.... Bottom line
Njia salama ni ya calendar, withdrawal na condoms
 
Back
Top Bottom