Ushuhuda: Madhara mbalimbali ya Vidonge vya Uzazi Wa Mpango

Wanawake wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kupinga hili kusimuliana madhara yatokanayo uzaz wa mpango lkn wako kimya!
laiti kama kungekuwa na nguvu mbili
yaani Inayopinga na Inayo hamasisha
sasa ipo nguvu moja tu inayohamasisha we unafkili watu watajulia wapi madhara yake?? Kama vile Cdm na Ccm lazma watu wajue kuwa kuna ufsadi!
 
Tatizo la sisi waafrika tunatanguliza haya na usiri katika mambo ambayo yanatuletea matatizo ya maisha. Unaona hata kujadili mada hii ambayo ina umuhimu kwa wanawake ambao ni waathirika, wakishaona tu wanakata kona, sijui aibu au nini. Kuijadili kungesaidia kuibua mawazo mengi na kusaidiana namna gani baora ya kufanya uzazi wa mpango kutokana na uzoefu wao.
 
Asante sana Candid Scope kwa maelezo yako, ila binafsi nachukia sana kitu kinaitwa period huwa inaniletea maumivu sana niliambiwa nikipata mtoto maumivu yatapungua au kuisha kabisa lakini haikua hivyo.

Matokeo yake nikaona ni bora nichome depo ili nisiwe napata period,kusema ukweli kwanza nimshukuru Mungu kuwa muda wote niliokua natumia depo sikuwahi kupata matatizo yoyote ambayo niliwahi kuambiwa ningeweza kuyapata mengine umeelezea hapo juu.

Ila kuna watu ambao nilikua nikiongea nao wanaotumia ilibidi waache kutokana na kwamba wengine inawanenepesha zaidi na wengine inawakausha(maana si kupungua). Hivyo basi vyote ulivyoelezea ni vya kuzingatia na kwakweli mimi nisingemshauri binti/msichana yoyote ambae bado hajapa mtoto atumie hizo kinga ulizozitaja hapo juu zaidi ya condom.

Kuna dada alikua akitumia sindano kwa muda mrefu alipokuja kuolewa alipata shida sana kupata mtoto,alikaa miaka tisa ndio akaja kupata mtoto. Hii si kwa kila mtu,maumbile pia yanachangia sana hivyo watu wasielewe vibaya ila ni vizuri ku take precautions.
 
Mpwa ujumbe wako umekuja wakati muafaka kabisa, naomba unishauri sasa njia gani tutumie na shemeji yako maana hii imenitisha sana, ntafurahi kama utanijibu kwa PM au hata hapa hapa jamvini ili na wengine wafaidi, maana najua wako wengi
 
ahsante kwa ujumbe mzuri..........sasa ni njia ipi sahihi ya kutumia na ambayo haina madhara?
 
ahsante kwa ujumbe mzuri..........sasa ni njia ipi sahihi ya kutumia na ambayo haina madhara?

fertility_awareness.png

Njia bora kabisa na ambayo haina madhara ya pekee ni utumiaji wa kalenda. Mwanamke ndiye anayetakiwa kuijua vema njia hii kwani ndiye atakayekuwe mwepesi kusoma mwenendo wa kalenda yake na kumwekea alama ya hatari au salama mumewe. Tofauti na madawa madhara yake huwezi kuyajua nini kitakutokea kwa sababu kila mmoja reaction mwilini inatofautiana na wengi.
 
Asante sana Candid Scope kwa maelezo yako, ila binafsi nachukia sana kitu kinaitwa period huwa inaniletea maumivu sana niliambiwa nikipata mtoto maumivu yatapungua au kuisha kabisa lakini haikua hivyo. Matokeo yake nikaona ni bora nichome depo ili nisiwe napata period,kusema ukweli kwanza nimshukuru Mungu kuwa muda wote niliokua natumia depo sikuwahi kupata matatizo yoyote ambayo niliwahi kuambiwa ningeweza kuyapata mengine umeelezea hapo juu.
Ila kuna watu ambao nilikua nikiongea nao wanaotumia ilibidi waache kutokana na kwamba wengine inawanenepesha zaidi na wengine inawakausha(maana si kupungua). Hivyo basi vyote ulivyoelezea ni vya kuzingatia na kwakweli mimi nisingemshauri binti/msichana yoyote ambae bado hajapa mtoto atumie hizo kinga ulizozitaja hapo juu zaidi ya condom.
Kuna dada alikua akitumia sindano kwa muda mrefu alipokuja kuolewa alipata shida sana kupata mtoto,alikaa miaka tisa ndio akaja kupata mtoto. Hii si kwa kila mtu,maumbile pia yanachangia sana hivyo watu wasielewe vibaya ila ni vizuri ku take precautions.

Ni bahati yake kama baada ya injection hukupata madhara, kwani wengi husumbuliwa na mengi. Tatizo la period pia hutofautiana kutegemea na mengi ambayo ukimwona daktari atakupa ushauri wa kufaa zaidi na nini ufanye ili kupunguza yakupatayo. Ila matumizi ya injection pamoja na kukupatia unafuu unaweza kupata madhara mengine siku za usoni.
 
Ni kweli kabisa nalifahamu hilo,asante.
 
ni kweli njia hizi zina madhara makubwa...nimewitnes wadada wengi wakipata matatizo makubwa kutokana na matumizi ya dawa hizo...asante kwa somo!!!
 
Namshukuru Mungu; sijawahi tumia dawa yeyote ya uzazi wa mpango toka nizaliwe ; na nina idadi ya watoto niwatakao; wawili.

Sijawahi tumia sababu mi ni mhoga; nilikuwa nikiuliza experience ya rafiki zangu wengi wananipa majibu ya vitisho na wengi wameamua kutotumia tena hizo dawa.

Jamani nimesikia kuvaa bra muda mwingi hasa zile za kubana sana kuna sababisha kansa ya matiti; wataalamu wamegundua recently na wametoa maelezo ya kisayansi. Nimechukulia hii habari seriously kwani so far hakuna anayejua nini hasa kinasababisha kansa. Hivyo mkiwa home au kama mna maziwa madogo muwe mnapotezea sidiria.
 
Asante kwa info, njia ambayo haina madhara kabisa (100% safe) ni kutumia kalenda. Au mwanaume ku-withdraw, kwa hii inahitaji umakini mkubwa sana kwa mwanaume.
 
Mke wangu anatumia calendar lkn ikiwa siku za hatari inambidi atumie vidonge vya morning after pills. Je vina madhara pia?
 
fertility_awareness.png

Njia bora kabisa na ambayo haina madhara ya pekee ni utumiaji wa kalenda. Mwanamke ndiye anayetakiwa kuijua vema njia hii kwani ndiye atakayekuwe mwepesi kusoma mwenendo wa kalenda yake na kumwekea alama ya hatari au salama mumewe. Tofauti na madawa madhara yake huwezi kuyajua nini kitakutokea kwa sababu kila mmoja reaction mwilini inatofautiana na wengi.
ahsante
 
Na kama siku zako zimetofautiana sana yaan hazieleweki njia ipi ni salama? Kwakua calendar hapa nadhani itasumbua? Naomba ushauri tafadhali
 
Nilipokuwa 4th year nafanya OB& GY Clerckship niliwahi kumuuliza mwalimu kuhusu papai ... inajulikana kwamba papaya ina uwezo wa kutoa mimba ... je mtu akila papaya after intercorse je inaweza ikawa ni njia nzuri ya birth control ...?! hakunijibu nikasahau kumuuliza badaye but still najiuliza hilo swali...

kila njia ya kuzuia mimba ina side effects zake ... nyingine si kubwa sana nyengine ni kubwa sana inategemea mtu na mtu ! calender ni njia nzuri though pia sio 100% safe
 
Back
Top Bottom