Condom za DUREX

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Kuna Pharmacist kanilipulia bomu akaniambia Condoms za DUREX aina ya FEATHERLITE zenye pakiti ya rangi ya brown zimepigwa marufuku kisa ziko chini ya kiwango. Naomba wadau walio karibu na TFDA watuhabarishe kama ni ya kweli haya,na je usalama wa waliokuwa wanazitumia uko vipi au ndo inabidi kujisalimisha 'angaza'? Kusema kweli inatisha maana leo pitia Pharmacy yoyote mjini aina hiyo ya condoms kweli hazipo madukani! Wadau twafa maana ilianza na metakelfin feki,mara ampicillin feki sasa jamani hawa matapeli wanavamia na idara nyeti?
 
yani wapigaji hawaangaikagi na vitu cheap sasa ona unaenda kununua durex elfu10 wakati salama ni cheap na hazijachakachuliwa bado tunaambiwa cheap is expensive
poleni wachepukaji rudini kwenye mstari
 
Ungezitesti kabisaa kama ziko na ubora wa chini ya viwango ili uje na uthibitisho.
 
Wanacheza na nyeti zetu hawa... Ukimwi upo lakini sio rahisi kupata labda unuwie
 
Acheni mbwembwe kila condom mpya ikija mnairukia.Salama ndo kondom yetu wabongo,badili mademu na sio condom [HASHTAG]#3bomba[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom