Condom jamani zime.....

njiro

Senior Member
Nov 7, 2010
146
107
Last time tukiwa kazini, kabla muda wa kazi haujaanza from nowhere ukatokea mjadala kuhusu Condom, kwanini wanaume wanasisitiziwa sana kutumia wakati wakiana dada si kwa sana, so wadada wa hapa ofisini kwangu wakasema kuwa hawajui kama zipo. Mimi kwa kuwa nazijua nikajitolea kwenda kuzinunue niwaletee wazijue(hata kutumiia pia). Cha kushangaza nikaenda maduka ya dawa yote karibu na Hospitali ya KCMC sikuzikuta, yaani hawaziuzi kisa hakuna wateja so swali langu ni hili nani anajali kuhusu matumizi ya Condom Kaka ama dada.
Nawakilisha
 
Nna assume umetumia 'wadada' kuwakilisha 'wanawake'.
Ninakujibu kwa experience niliyonayo. Wadada wengi walio kwenye mahusiano ya boyfriend/girlfriend/uchumba huwa hawajali matumizi ya Condom. Wadada walioko kwenye ndoa zao, wanapotoka nje ya ndoa wengi wanajali kondom. Wadawa ambao wapo kibiashara zaidi (wadadapoa) ndio wanajali suala ya condom kupita wengine wote.
 
Hiyo ni kweli kabisa Ila swali langu ni hili Condom za kike Hazitumiki ka za kiume.
Kwa mfano siku si nyingi hapo nyuma kulikuwa na tangazo la kondom ya kike inaitwa LADY PEPETA siku hizi silisikii kabisa.
Ila sasa ukija upande wa pili Condom za kiume zinatangazwa sana, tena na mbwembwe kibao kama studed,ribbed, tatu bomba na nyingine nyingi.
Nawalisha
 
Kwa ujumla ni kuwa kama wanawake wangeamua kwa pamoja kuwa UKIMWI BASI na kutumia condom zao au kukataa ngono zembe UKIMWI ungeisha. Kina dada licha ya kutotaka kuvaa condom zao, hawakatai kufanya mapenzi na midume isiyotaka kutumia condom
 
Nna assume umetumia 'wadada' kuwakilisha 'wanawake'.
Ninakujibu kwa experience niliyonayo. Wadada wengi walio kwenye mahusiano ya boyfriend/girlfriend/uchumba huwa hawajali matumizi ya Condom. Wadada walioko kwenye ndoa zao, wanapotoka nje ya ndoa wengi wanajali kondom. Wadawa ambao wapo kibiashara zaidi (wadadapoa) ndio wanajali suala ya condom kupita wengine wote.

du, nimeupenda huu utafiti!
 
Kuna wakati zilishindikana,
zinawasha, zina alergy, zina makelele yasiyovutia kwa kifupi bidhaa haikupendeka kwa sababu hizo na nyingine za kisaikolojia
 
Hiyo ni kweli kabisa Ila swali langu ni hili Condom za kike Hazitumiki ka za kiume.
Kwa mfano siku si nyingi hapo nyuma kulikuwa na tangazo la kondom ya kike inaitwa LADY PEPETA siku hizi silisikii kabisa.
Ila sasa ukija upande wa pili Condom za kiume zinatangazwa sana, tena na mbwembwe kibao kama studed,ribbed, tatu bomba na nyingine nyingi.
Nawalisha

ki2 kigumu hapa ni utumiaji wa hzo KONDOM za kike, nilisoma jarida moja likielimish matumiz ya hzo kondomu, inachukua mda sana mpak kukamilika kwake ambapo itampasa mwanamke kuivaa saa moja au zaidi kabla ya kufany tendo ili iweze kufit vizur katik maungo yake.. Sasa mi ninachoona hapa kama usumbuf kwa wanawake ndo mana kondomu za kiume zinakuw juu kuliko zao.. Mana ni rahs kuzivaa.
 
Dawa ya maradhi yasiyotibika, mimba zisizo mpango, magonjwa ya zinaa ni kuacha uzinzi. Kondom bwana zina adha yake ndiyo maana hazipendwi na hata watumiaji wake, wanazitumia basi tu kwa kuwa wanaamini itawasaidia kuwakinga
 
kwa upande wangu ninaona mwenye maamuz ya ku2mia condom ni mwanaume kwasababu asilimia ya wanaume weng wakiwa kwny tendo la ndoa hujitambua kuliko mwanamke. Alafu pia condomu ya kiume ni rahis kuwa katka hisia kuliko condom ya kike
 
kwa mimi binafsi
nadhani ni wote wawili
onea aibu maisha yako anza kufurahia kaburi
sababu Condom is the matter of life and death
is no debate nani atumie nani asitumie..

Kama mmeoana nani makubaliano
kutokutumia hiyo ni juu yenu
lakini kwa saa
Condom= Life..

wanawake wafariji waume kuvaa
kabla match kuanza
na wanaume ni majukumu yenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom