Condom inaposuluhisha ugoni!

Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,503
6,375
Habari wana JF!!!

Baba mtu mzimaaa alikuwa anatembea na kabinti aged kama 18/19 hivi ni mwanafunzi wa QT na mbaya zaidi alikuwa anatumia kitanda anachotumia na mkewe wa ndoa. Huyu mzee alitumia advantage ya urafiki baina ya ndugu zake anaoishi nao ambao ameamua kuwaendeleza kielimu kupitia QT kwa kuja kujisomea pale home then ye anamvuta binti chumbani anarekebisha kisha anarudi kuendelea na discussion na wenzie sebuleni.

Siku ya siku mama kapata taarifa ya mambo yanayotkea kwa anavyojua ila akaweka mtego wake na akakusanya watu nje baada ya kuwa na uhakika mtego wake umewanasa, wakaingia ndani na kuwafurusha wagoni hao huku mamia ya watu wakisubiri binti mgoni atolewe nje.

Mara mama katoka na condom imechafuka haja kubwa na huku imejaa mbegu za kiume, akasema `kwa kuwa mwenzangu analiwa hii kitu basi nimemruhusu awe mke mwenzangu mdogo naomba ondokeni na muwaache`.

Umati ule uliichukua ile condom na kuzunguka nayo mtaani wakiimba nyimbo za ajabu ajabu kuhusu tukio na condom yenyewe, mwisho wa siku wakaenda kuiweka mlangoni kwa kina huyo binti mfumaniwa. Mpaka naondoka huu mtaa ni takribani wiki mbili sasa sijaua binti yuko wapi ila baba anapeta na ndoa inaendelea kama kawaida.

Maswali yaliyojaa kwa wengi walioona hili tukio ni, Mama aliacha kuchukua hatua zozote kama alivyokuwa amepania sababu ya condom kwamba alijua binti analawitiwa au nini?

Hebu na wewe mwana JF utalichukuliaje tukio kama hili? Ni kwamba wanapendana sana au ndoa imekomaa??
 
hebu tuambie mkuu....ni mtaa gani huo unaouzungumzia hapa...maaana hujatuambia hata ni mkoa gani
 
Back
Top Bottom