Hellow, help me here please! Nimekuwa na changanywa hapa. Wengne nataka mume mweupe, oh nataka mke mwembamba, nataka niolewe na kipanga . . Mara hivi mara vile. Sasa swali ni je una~identified characteristics za mtu ndio 'unaamua kumpenda' au you happen to love her/him automatically without considering those qualities?
Yote mawili hutokea lakini kwa hali yetu ya sasa mapenzi mengi yanakuja kwa vinogesho mbali mbali.