comrade ulimboka na pinda

Dr.Chichi

JF-Expert Member
Apr 30, 2008
2,394
631
our hero
ulimboka.jpg
 
Kumbe Vihiyo wanakubalika hata kwa PM..................................
 
naona madoctor wote wamefurahi. kila mmoja katabasamu. safi sana olimboka ambaye pinda anamuita olimboko.
 
si walisema ulimboka si dokta? eti hakumaliza internship.
propaganda zao hatimaye zimewageukia wenyewe.
 
si walisema ulimboka si dokta? eti hakumaliza internship.
propaganda zao hatimaye zimewageukia wenyewe.

United we stand, divided we fall! Walau wa Tz wameona nguvu ya umoja na mshikamano kwenye kudai haki jinsi unavyowezesha mnachodai kupatikana
 
Kumbe Vihiyo wanakubalika hata kwa PM..................................
Vihiyo wamejazana kwenye ofisi zenu mnazopeana kazi kwa kujuana. Wengine by virtue of their profession, shake hands with anybody bila kujuana nao! And that is where the difference is...
 
Kweli Madaktari Walipania na Madai yao yalikuwa ya Msingi sana ubabe kawaida kwa serikali ya kidemokrasia hauitajiki... Viongozi wizarani waliokuwa wanakwamisha muafaka hawafai hata kuwa wajumbe wa Shina JK Punguza ushikaji timua wote... muda wa kuleleana ushapita tuachie nchi ikiwa safi kama fadhira zishatosha hata wewe unalifahamu hili
 
nikikumbuka haya maneno kutoka kwa pindaaa....
huyu ulimboka ni nani ktk nchii hii..
kwanza sio docta na anapenda migomo...
ni marufuku mkusanyiko wowote wa madaktari..
asiyeripoti kazini kesho amejifukuzisha kazi...
wakuu wa wilaya fatilieni hili....
sisi ndio tuko jikoni tunajua matatizo ya serikali

sasa ukicheki hio picha atakuwa anamwambia dogo ntakukumbuka halafu uwe unakuja ofisini kwangu tujadiliane kabla hujaanzisha kunji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom