Comrade Julius Mtatiro

Kikubwa kinachomuua zaidi CUF kuna udini maana kila mwana cuf makini lazima awe muislam hiyo haina ubishi. kila mwenye macho anaona kuwa hicho chama hakina sura ya kukomboa nchi ila kipo kwa ajili ya masilahi ya waislam sana.

Sawa na kila mwanachama makini wa chadema lazima awe amesoma semenari na ni mkiristo ...sifa zenu zinafanana
 
director1, usitake kumdanya mwenzio aachie ulaji hapo CUF!, mwenzako hapo ni naibu katibu mkuu ambayo ni very senior position. Juzi wakati wa uchaguzi mdogo wa Igunga, Mtatiro aliidhinisha malipo ya milioni 50 kulipia ile helcopter bila kushauriana na yoyote hapo CUF, hii ikiwa ni ushahidi kuwa pia anayo purchasing power kubwa, unataka aende chadema akafe njaa?!.

Kwa Tanzania tuna wanasiasa wa aina mbili, aina ya kwanza ni wanasiasa ambao siasa kwao ndio professional na ajira zao za kudumu kuendeshea maisha yao. Hawa wanaingia siasa ili waweze kuishi ndio maana Lipumba ndiye mgombea wa kudumu wa urais wa muungano kwa tiketi ya CUF.Wengi wa wanasiasa walioko CCM na CUF ndio wa kundi la kwanza. Kundi la pili la wanasiasa wa bongo, ni wale wanaoingia siasa kwa kutaka kuwatumikia wananchi, hawa wanauchungu na umasikini wa Tanzania hivyo wanaingia siasa ili kuleta mabadiliko, wengi wa walioko Chadema ndio kundi hili la pili.

CUF ni chama cha siasa cha wachumia tumbo, kinagombea uongozi ili kupata ulaji, baada ya kufunga ndoa na CCM, wanagawana ulaji, hapo sasa hakuna kingine wanachotaka ni kugawana tuu keki ya taifa na kula kwa ulaini, hivyo Mtatiro hapo alipo ni pazuri sana kwa ulaji, msimdanganye ahame aachane na ulaji aje Chadema kwenye struggle ambapo kwa sasa anakula kwa kuypewa, akienda Chadema, itambidi ale kwa jasho lake!.

Mtatiro usidanganyike, jitulize tuu hapo hapo ulipo, endelea kujilia kwa ulaini, 2015 kombea tena ubungo uendelee kusindikiza huku ukijilia kwa ulani. Kama unaweza kujipatia ulaji kwa ulaini na mteremko kama huo ulionao hapo CUF, kwanini ukapande milima na mabonde kama Chadema?.
Tena kutokana na jina la Julius, wewe ni mtaji muhimu sana CUF, naomba usifikirie kabisa kuhama, chama kitakufanya mgombea wa kudumu wa jimbo la Ubungo kama alivyo Prof. Lipumba ni mgombea wa kudumu wa urais wa muungano.

Hilo kundi la pili ni utopia, hao wanasiasa hawapo si chadema si CCM name it, Pasco kwenye ukweli tuseme na sio upenzi. Ila wako wanaojaribu kuwa sehemu zote mbili.
 
Hilo kundi la pili ni utopia, hao wanasiasa hawapo si chadema si CCM name it, Pasco kwenye ukweli tuseme na sio upenzi. Ila wako wanaojaribu kuwa sehemu zote mbili.

heeeeeeeeeeeeee, kumbe upo.

unapinga chadema uku unajifanya unampenda zitto. divide and rule imefeli nini?

unafki mbaya sana.
 
Huyu kijana alikuwa hapendi shule, alikuwa mwendesha migomo mkuu akiwa UDSM. Nilikuwa kila mara migomo ikitokea UD lazima aonekane na alikuwa anavaa tu nguo moja! Tshirt ya Arsenal!!

Rejao,
Unajua wewe ni mpuuzi sana. Mimi mtatiro nimekuwa nae UDSM kwa miaka mitatu mfululizo then nikamuacha akiendelea na kozi yake ya miaka minne. Kwa kweli alikuwa busy sana kutetea maslahi ya wanafunzi. Na kuhusu ile Tshirt ya Arsenal aliyokuwa anaivaa almost kila siku kwenye maandamano ni ishara ya u-busy aliokuwa nao na hata kushindwa kupata muda wa kubadilisha nguo. Ninachokupinga ni hii habari kwamba alikuwa hapendi shule. Kama alikuwa hapendi shule ni vipi aliweza kupanda vidato hadi kufika ngazi ya Chuo Kikuu?

Shule alikuwa anaipenda na anaiweza sana kwa sababu hata lecture alikuwa haingii lakini kwenye mitihani alikuwa anafaulu kwenda mbele.
 
Ungesema tu wewe ni shabiki wa chadema basi tungejua

Ni maoni pia umejitahidi..

Lakini CUF ndio chama makini cha upinzania tanzania

Chadema bila kanisa hakuna kitu
Yaani nyie wajinga kwa kuweweseka mpaka basi!! Sasa Kanisa na uimara wa CHADEMA wapi na wapi?
 
hope atasikia.. Na mimi nakazia hapo hapo kuwa kazi kuwa kwa sasa ni Katiba hadi 2014 iwe done issue then next in kuindoa CCm madarakani.

Kwa mtatiro kuwa Cuf hakutamsaidia kwani CUF haina future hasa huku bara....
 
director1, usitake kumdanya mwenzio aachie ulaji hapo CUF!, mwenzako hapo ni naibu katibu mkuu ambayo ni very senior position. Juzi wakati wa uchaguzi mdogo wa Igunga, Mtatiro aliidhinisha malipo ya milioni 50 kulipia ile helcopter bila kushauriana na yoyote hapo CUF, hii ikiwa ni ushahidi kuwa pia anayo purchasing power kubwa, unataka aende chadema akafe njaa?!.

Kwa Tanzania tuna wanasiasa wa aina mbili, aina ya kwanza ni wanasiasa ambao siasa kwao ndio professional na ajira zao za kudumu kuendeshea maisha yao. Hawa wanaingia siasa ili waweze kuishi ndio maana Lipumba ndiye mgombea wa kudumu wa urais wa muungano kwa tiketi ya CUF.Wengi wa wanasiasa walioko CCM na CUF ndio wa kundi la kwanza. Kundi la pili la wanasiasa wa bongo, ni wale wanaoingia siasa kwa kutaka kuwatumikia wananchi, hawa wanauchungu na umasikini wa Tanzania hivyo wanaingia siasa ili kuleta mabadiliko, wengi wa walioko Chadema ndio kundi hili la pili.

CUF ni chama cha siasa cha wachumia tumbo, kinagombea uongozi ili kupata ulaji, baada ya kufunga ndoa na CCM, wanagawana ulaji, hapo sasa hakuna kingine wanachotaka ni kugawana tuu keki ya taifa na kula kwa ulaini, hivyo Mtatiro hapo alipo ni pazuri sana kwa ulaji, msimdanganye ahame aachane na ulaji aje Chadema kwenye struggle ambapo kwa sasa anakula kwa kuypewa, akienda Chadema, itambidi ale kwa jasho lake!.

Mtatiro usidanganyike, jitulize tuu hapo hapo ulipo, endelea kujilia kwa ulaini, 2015 kombea tena ubungo uendelee kusindikiza huku ukijilia kwa ulani. Kama unaweza kujipatia ulaji kwa ulaini na mteremko kama huo ulionao hapo CUF, kwanini ukapande milima na mabonde kama Chadema?.
Tena kutokana na jina la Julius, wewe ni mtaji muhimu sana CUF, naomba usifikirie kabisa kuhama, chama kitakufanya mgombea wa kudumu wa jimbo la Ubungo kama alivyo Prof. Lipumba ni mgombea wa kudumu wa urais wa muungano.

huu ni umasaburi type of thinking.huwezi kukashfu wenzako..wewe ni d..o..g kasoro m.k.i.a
 
Kwako mkuu
tumesikia na kuelewa utendaji wako wa kazi
mimi binafsi ni mwanaharakati ninaye takia mema nchi yangu,mkuu umekuwa ukifanya kazi hapo Cuf kwa muda mrefu sasa,je swali langu,,hapo Cuf una future?je Cuf inakuachia uwanja wa kucheza ili uweze kufanikisha malengo yako kisiasa?je Cuf yenyewe ina future?
mkuu napenda kukupa taarifa kuhusu upinzani wa wakati tulio nao,
kazi ya upinzani tulio nao ni moja tu! kuiondoa ccm madarakani,,hakuna kazi nyingine,
ccm imetawala miaka mingi na imetusumbua sana sisi watanzania,kazi yenu ni kuitoa ccm na yeyote atawale ili mradi ccm ifutwe kabisa,
mkuu kama hiyo ndio kazi ya upinzani nakushauri uondoke Cuf mara moja kwa kuwa walishafunga ndoa na ccm
hakuna mabadiliko yatakayotokea nchi hii kama ccm inahusika,ondoka Cuf hamia chadema pambana na wenzio ili watanzania waweze kuwaweka kwenye vitabu vya historia

Ndugu zangu wa hapa jamvini, HILI NALO NENO!
 
Nchi ya midahalo,
Mtatiro ahame CUF ili ife?
Ukombozi hauletwi na chama,ukombozi unapaswa kuwa katika fikra.
Nani asiyejua wabunge viti maalim ni mzigo,chama gani cha ukombozi kime-adress hii issue
Wengi ni wanafiki wanaojifanya kutetea maslahi ya watanzania
 
Ungesema tu wewe ni shabiki wa chadema basi tungejua

Ni maoni pia umejitahidi..

Lakini CUF ndio chama makini cha upinzania tanzania

Chadema bila kanisa hakuna kitu
Hapo jamaa yangu umenena, kwa umakini wake CUF waliamua kuwachuuza wazanzibar kwa kisingizio cha muafaka, baada ya kuingia kwenye serikali ya mseto wakatupilia mbali wito wao maarufu wa "Haki sawa kwa wote" na kuja na wito mpya wa "Haki sawa kwa viongozi". Kwa umakini huu wa CUF viongozi wao waliokuwa na hoja mahiri bungeni kama akina Hamadi Rashidi wakaishiwa kabisa hoja na sasa wao ni watu wakulaani maandamano ya CHADEMA tu. Hata mbunge wao wakike alipodharirishwa na polisi kule Tabora waliona sawa tu kwani polisi wale nisehemu ya uongozi wao. Kudadaddeki hiyo ndio mshahara wa kazi ya kuosha kiuno cha mbwa.
 
Ungesema tu wewe ni shabiki wa chadema basi tungejua

Ni maoni pia umejitahidi..

Lakini CUF ndio chama makini cha upinzania tanzania

Chadema bila kanisa hakuna kitu

mdini mkubwa wewe! Vipi tamko la Bakwata kuhusu maandamano ya Dowans?
 
Back
Top Bottom