Computers za jumla zinauzwa

Mr Eko

Member
Aug 29, 2008
21
0
Ni computer used/refubished.
Computer maker: HP, Dell, na Compaq.

Bei:
P3 ... >700Mhz ... 128MB ... 10Gb ...167,000
P3 ... >900Mhz ... 256MB ... 10-20Gb ... 197,000
P4 ... >1.2Ghz ... 256MB ... 20-40Gb ... 212,000
P4 ... >1.5Ghz ... 256MB ... 20-40Gb ... 228,000
P4 ... >1.8Ghz ... 256MB ... 20-40Gb ... 258,000
P4 ... >2.0Ghz ... 512MB ... >40Gb ... 288,000
P4 ... >2.4Ghz ... 512MB ... >40Gb ... 334,000

Monitor size: 17"

Ukinipigia nitakupa taarifa nyingine, mfano:
- Namba ya regional manager wa kampuni husika inayouza hizi computer
- Idadi ya shule au taasisi ambazo tayari zimenunua kutoka hii kampuni
- Jina na website ya hii kampuni
- Terms na warranty issues
- N.K


Ni list ya computers yenye kurasa saba (7), unachagua mwenyewe.
Watakaochelewa itabidi wasubiri mzigo mwingine miezi kadhaa baadae.
Atakayewahi nitamkutanisha na regional manager, maana yupo jijini kwa siku chache.


Nitumie PM
Au nipigie kwa namba:0716-352104
Huenda nikakupigia kama una namba ya TIGO

Sorry to have bothered you if you feel this offer is not HOT
 
Nitumie PM
Au nipigie kwa namba:0716-352104
Huenda nikakupigia kama una namba ya TIGO

Na kama sina namba ya Tigo je? Hautanipigia?

Mzee, yaani unafanya biashara halafu unaweka masharti jinsi ya kuwasiliana na wateja wako?
 
duh computer za 10Gb, tena zinauzwa mashuleni! tunayo kazi katika maendeleo ya technologia!
 
Hahahahah

I'm just doing someone a favor, sitegemei kunufaika kwa kujishughulisha huku. Kama uko mtandao mwingine ukini-beep sitakupigia. Ndicho nilichomaanisha maana sina kawaida ya kujibu mtu aki-beep.
 
Hahahahah

I'm just doing someone a favor. Kama uko mtandao mwingine ukini-beep sitakupigia.
Ndicho nilichomaanisha.

Sasa kama unamtangazia biashara mtu mwingine, kwa nini usiweke contact za huyo jamaa hapa?

Kwa sababu, kama mimi niko voda, nikakubeep, halafu haunirudishii simu, unajua nini kitakuwa kimetokea hapo? Umemkosesha huyo jamaa wako business deal. Sasa nini maana ya kumfanyia jamaa yako favor, wakati huwezi kumuunganisha na wateja (unless mteja ana Tigo)?

Oh well, ningekushauri angalau uweke contact za mwenye hizo computer
 
Poa mzee, ngoja niwasiliane naye kwanza. Nashukuru kwa ushauri
 
Shukrani kwa wale mliopiga simu. Nilisahau kusema kwamba hizi ni Desktop, kwenye mzigo huu hakuna laptops. Next time perhaps.

Cheers
 
du! ni mkoa gani katika Tanzania yupo huyu na je kama mtu yupo mbali na ninyi kuna utaratibu gani hapo?
 
angalizo

Kununua computer kwa bei hizi na kwa watengenezaji hao na kwa capacity iliyosemwa inategemea unatumia computer hizi kufanyia nini na kwa muda gani. Ushauri wangu kwa wateja mtafute an independent technical guy ili azi-assess kabla hamjanunua. Ningekuwa mimi ningeprefer clone refurbished computers kuliko hizo brands wanazouza kwa maana nyingi ya hizo zikipata matatizo utengenezaji wake au parts replacement zinaweza kusumbua wakati mwingine. sina lengo la kuwaharibia biashara kama umeelewa my first sentence.

Mimi pia naweza kuwatafutia soko ila mniambie model ya hizo computers zenu ili nijiridhishe maana nafahamu some models ambazo mhh..
 
Mzozo, kampuni iko Moshi. Kwa anayetaka nimpe jina la website yao anitumie private message nitamjibu. Kwenye website kuna information nyingi na pia utajiridhisha kufahamu hii kampuni inajishughulisha na nini.

Mkoa wowote zinaweza kuletwa ila bei itaongezeka kidogo kwa sehemu fulani fulani. Ukiweza kufika Moshi itakuwa vizuri zaidi ili uzione hizo computer zenyewe na ukutane na wahusika. Mzigo usipungue computer 20.

Nimekuelewa Johnj, ushauri wako ni mzuri.
Maswala ya spear parts yameelezwa kwenye terms za manunuzi, hilo usiwe na hofu.
Kuna computer chache ambazo zinaweza kuwa defective, hili pia limeainishwa kwenye mkataba wa manunuzi.

Computer ni za HP, Dell, na Compaq.
 
Niongezee kwa kusema kwamba kuuza computer sio jukumu kuu la hii kampuni. Hii ni NGO ambayo imefika wakati sasa ijitafutie fedha kujiendesha badala ya kuendelea kutegemea wafadhili.
Na ndiyo maana nimethubutu kuweka hili tangazo hapa.
 
ni computer used/refubished.
Computer maker: Hp, dell, na compaq.

bei:
p3 ... >700mhz ... 128mb ... 10gb ...167,000
p3 ... >900mhz ... 256mb ... 10-20gb ... 197,000
p4 ... >1.2ghz ... 256mb ... 20-40gb ... 212,000
p4 ... >1.5ghz ... 256mb ... 20-40gb ... 228,000
p4 ... >1.8ghz ... 256mb ... 20-40gb ... 258,000
p4 ... >2.0ghz ... 512mb ... >40gb ... 288,000
p4 ... >2.4ghz ... 512mb ... >40gb ... 334,000

monitor size: 17"

ukinipigia nitakupa taarifa nyingine, mfano:
- namba ya regional manager wa kampuni husika inayouza hizi computer
- idadi ya shule au taasisi ambazo tayari zimenunua kutoka hii kampuni
- jina na website ya hii kampuni
- terms na warranty issues
- n.k


ni list ya computers yenye kurasa saba (7), unachagua mwenyewe.
Watakaochelewa itabidi wasubiri mzigo mwingine miezi kadhaa baadae.
Atakayewahi nitamkutanisha na regional manager, maana yupo jijini kwa siku chache.


Nitumie pm
au nipigie kwa namba:0716-352104
huenda nikakupigia kama una namba ya tigo

sorry to have bothered you if you feel this offer is not hot


ndugu hujasema kama zinazizi hizo computer vitu kama operating system na kadhalika na licence zingine za software ambazo zitaingizwa katika hizo computer

halafu mwisho nakushauri upitie pale kisutu kuna kampuni inaitwa lionchina computer utapata somo kubwa

ni ushauri tu
 
SHukrani mheshimiwa. Naomba unielekeze mahali walipo lion china computer nikifika kisutu niulizie.

Computer zina XP pamoja na Anti virus. Hakuna MS Office.
 
SHukrani mheshimiwa. Naomba unielekeze mahali walipo lion china computer nikifika kisutu niulizie.

Computer zina XP pamoja na Anti virus. Hakuna MS Office.

Aisee hebu ongea kiufundi kidogo...! Zina XP haitoshi? Mimi nataka kujua kama ni genuine OS? na Je kuna guarantee/warranty yoyote nikinunua? na Je RAM yake ni expandable?

Mi nataka kopyuta nne kwa ajili ya Ofisi, lakini nataka zisinliletee matatizo nikiziconect na internet, mambo ya kuanzwa kuulizwa Validation keys etc...?

daah sometimes cheap may prove to be expensive...!
 
SHukrani mheshimiwa. Naomba unielekeze mahali walipo lion china computer nikifika kisutu niulizie.

Computer zina XP pamoja na Anti virus. Hakuna MS Office.

Hakuna MS office hizo ni za kucheza game tu?Ua nikupeleka kwa watoto wa chekechea wapigie picha....(joke)

Sasa technical hizo Computer kama hazina MS OFFICE inaweza kuongezwa?
Au hata hilo nalo hujui....kwa kuwa wewe umekuja tangaza hapa ngoja tukubane...?Hiyo NGO inaziuza kama bussiness baada ya wenyewe kuletwa kama msaada kutoka kwa wafadhili?

Good day
 
Mhafidhina

Ungependa kuongeza memory hadi kufikia kiasi gani?
Tuchukulie mfano,
p4 ... >2.4ghz ... 512mb ... >40gb

Kuna uwezekano mkubwa zikawemo memory sticks 2, kila moja 256mb. Kufikia RAM ya ukubwa wa 1GB sio tatizo ila pengine utahitajika kununua madukani.
Kwa production environment (mfano kazi za AutoCAD), ningekushauri ununue mashine mpya badala ya kufikiria ku upgrade used one.

Kuna message naitegemea yenye taarifa zaidi, majibu ya maswali yako yanaweza kuwa humo.
 
Buswelo sijaelewa vizuri swali lako la mwisho.

Ndiyo, Microsoft Office inaweza kuwekwa.
 
Sasa kama unamtangazia biashara mtu mwingine, kwa nini usiweke contact za huyo jamaa hapa?

Kwa sababu, kama mimi niko voda, nikakubeep, halafu haunirudishii simu, unajua nini kitakuwa kimetokea hapo? Umemkosesha huyo jamaa wako business deal. Sasa nini maana ya kumfanyia jamaa yako favor, wakati huwezi kumuunganisha na wateja (unless mteja ana Tigo)?

Oh well, ningekushauri angalau uweke contact za mwenye hizo computer



Mkuu naona hujafanya biashara au hujui biashara....
Ukiwa unashida na bidhaa au mzigo hutakiwi kubeep.....kwa maana unanunua bidhaa ile kwa manufaa yako........labda kama huna haja ya kununua unataka kuuliza ndo ubeep lakini huwezi pigiwa mkuuu.....
Chukulia mfano unaunguliwa na nyumba au umevamiwa na majambazi utabeep POLICE au FIRE waje kukusaidia???????
 
Kama hiyo kampuni ina website na inauza hizi computer legally then tuwekee hiyo website yao hapa na pia contact person's email address ili tuwasiliane naye.

Pili kusema mnamuuzia mtu mwenye kununua computers 20 au zaidi inanipa maswali kidogo. kumbuka kama ni kampuni kubwa yenye kuhitaji computers 20 au zaidi hawawezi kuja kununua computers refurbished tena zisizo na waranty na pia zenye kukosa genuine softwares labda kama ni fisadi na anataka 10%.

Mjue target market yenu sio makampuni makubwa ni watu wenye internet cafes au vijishule vidogo kwa hiyo ni vizuri mkaruhusu mtu kununua computer moja, mbili etc kulingana na mahitaji ya mtu.

La mwisho am still wondering kama mtu ni muuzaji wa computer then kwa nini akutumie wewe hapa JF ? si afanye registration na kujibu maswali moja kwa moja au labda hawana internet access !!!
 
Back
Top Bottom