Computer yangu nzito

Kibirizi

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
604
146
Jamani naomba mwenye kufahamu anijuze nini cha kufanya juu ya tatizo la computer yangu kuwa nzito, Computer yenyewe ni DELL laptop, yaani kila nikifungua programme yeyote inakuwa nzito mno wakati antivirus (NOD 32) inayo na nina update kila siku.
 
NOD Ni cha mtoto watamzunguka!!chukua Kaspersky utakuwa umemaliza tatizo ila itakubidi uiformat then uisntall prgrm ukimaliza uweke hiyo kaspersky
 
Du nashukuru sana kwa ushauri wako, ila itabidi niende kwa wataalamu zaidi kwani hata utaalamu wa ku-format sina.
 
solution ya fasta fanya hivi,
right clk my computer, select propety, then click advance setup, then click performance, then utaona vijibox click kwenye best perfomance badala ya best apearance.
Fanya hvyo itakusaidia.
 
Jamani naomba mwenye kufahamu anijuze nini cha kufanya juu ya tatizo la computer yangu kuwa nzito, Computer yenyewe ni DELL laptop, yaani kila nikifungua programme yeyote inakuwa nzito mno wakati antivirus (NOD 32) inayo na nina update kila siku.

Computer yako kuwa nzito Computer yako kuenda taratibu kuna saabu nyingi zinafanya ya kwanza ni wakati unapofunguwa Computer yako kuna Program nyingi zinafunguka na unakuwa wewe huzitumii na zinakuwa zinafanya kazi pasipo wewe kujuwa,pili ni kuwa kwenye

Computer yako kuna Virus au Malware au Worm au Trojan. weka hii Program kwenye Computer yako ujwe kuna program gani zinazokwenda bila wewe kujuwa na ujaribu kuondosha (Tick) uzipunguze bonyeza hapa Autoruns for Windows

na program za kuondowa virus bonyeza hapa Download by using Rkill press here RKill - What it does and What it Doesn't - A brief introduction to the program


Download and Scan By Using Malwarebytes’ Anti-Malware Malwarebytes Anti-Malware - Free software downloads and software reviews - CNET Download.com

Download and Scan By Using Super Anti-Spyware Press here SUPERAntiSpyware.com | Remove Malware | Remove Spyware - AntiMalware, AntiSpyware, AntiAdware!

Download ATF Cleaner press this link ATF Cleaner - Free software downloads and software reviews - CNET Download.com

Tumia hizo zitakusaidia kuondosha Computer yako kuwa nzito na kuondosha Virus na vijidudu wote katika Computer yako usisahau kubonyeza ( Thanks)
 
Kompyuta nzito. In maana kuna application na program zinashilkilia memory ha hata kama huzitumiiii.
kama alivyoandika mzizimkavu hapo juu na ushauri aliokupa ni mzuri
Najaribu kuongezea machache hapa

  • Simple opption ni wewe kufanya system restore

  • Another option kama wewe ni una atleast medium knowledge na IT fanya reseacrh kwa nini inakuwa nzito angalia process zinazorun ukiwasha anagalia zinakula % ngapi ya memory na % CPU. angalia ni process gani zina run lakini huzitumii.Tafuta ni process gani inakula memmory sana na process gani inatumia % ya CPU time. Ukipatamajibu unaweza kujua nini cha kufanyakama

      • stopping pocess amabzo si za muhimu sana kustart automatically computer inavyowaka
      • Kujua kaa kuna process za ajabu amabzo ni virus
      • Kama umeibebesha computer program nyingi huku ikiwa na memory ndogo
 
kuna huo ushauri wa Mzizimkavu nimeufuata somehow imesolve tatizo ila ili kumaliza wameniambia ni buy hiyo software, imescan ikaona computer ina 1830 erros ikaclear only 100 errors iliyobaki, ili kuondoa kabisa tatizo imenitaka kununua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom