Computer yangu haiwaki.

Jawai

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
530
405
Laptop yangu inagoma kuwaka, niki switch on, inawaka taa kwenye screen tu ila haindelei. Naombeni msaada tafadhali.
 
Jawai
vp unatest kupost thread?
jieleze vizuri usaidiwe
je ni OS gani? chanzo? taa inayowaka ni ipi? display au led indicators....
 
I mean, nikiiwasha screen inawaka inawaka then haiendelei process ya kufunguka. Jana nilikuwa natumia internet kwa mordem ya airtel gafra ikastak nikajaribu kuizima kwa kulazimisha ikazima nilipojaribu kuwasha tena haikuwaka tena, hata menu ya kuboot haiji..
 
Laptop yangu inagoma kuwaka, niki switch on, inawaka taa kwenye screen tu ila haindelei. Naombeni msaada tafadhali.

Kama ulichukua mali mpya au used zilizo kwenye hali nzuri, ulipewa CD zake zote.
Hivyo, chukua cd iliyoandikwa Operating System, washa komputa yako, fungua cd rom, weka cd hiyo halafu restart
Fuata maelekezo, nakushuri install upya hiyo kitu
 
Kuna jamaa nataka nikamuone kasema anaweza kunisaidia..
 
Jawai
vp unatest kupost thread?
jieleze vizuri usaidiwe
je ni OS gani? chanzo? taa inayowaka ni ipi? display au led indicators....

nikweli mkuu hajaeleza vizuri wadau wa jukwaa watashindwa kukusaidia pls eleza kwa ufasaha mkuu labda window imecorapt!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom