Computer Locker

Nyasiro

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,200
551
Ohhh Nime-release hii program leo karibuni tena:

Summary:
This tool helps you to lock your PC when you don't have to shut it down. You can lock for defined time or resume by entering password.

Nimeitest kwenye Windows XP na Windows Se7en kama kuna bugs report hapa

Name: OSAS Computer Locker
Version: 3.0.0.0
Size: 1.92MB
Format: .msi
Designed for: MS Windows XP and above

Description:

Hii ni program ya ulinzi kwa ajili ya kompyuta yako. Kwa mfano labda umetoka kidogo na hauoni haja ya kuzima kompyuta yako kwa sababu labda unafanya installation ambayo itachukua muda mrefu kwa hiyo utakachofanya ni kuifunga kwa kutumia OSAS Computer Locker.

Naelewa kabisa kwamba MS Windows inao uwezo wa kufanya kama au zaidi ya hii program lakini sio salama zaidi! em fikiria umesahau password yako ya Windows itakuchukua hatua ndefu sana mpaka kuiponesha komputer yako ukilinganisha na hii program ambayo hautapata usumbufu wa namna hiyo. Hii ndio inaleta faida ya kutumia programu hii badala ya kutumia ile iliyo ndani ya Windows.

Faida nyingine ni kwamba program hii inakupa wigo mpana wa kuifunga kompyuta kwa kutumia njia mbili yakwanza ni "Normal Locker" ambayo itaifunga na utafungua pale unapotaka, njia ya pili ni "Timer Locker" ile ya kufunga kwa muda maalumu ambapo baada ya muda huo itafunguka yenyewe au unaweza kufungua kabla ya muda kuisha.

Download Link: Download OSAS Computer Locker 3.0.0.0 Free - Lock your PC when there is no need to shut it down. - Softpedia

Enjoy!

UDPATE: NIMESITISHA RASMI KUENDELEA KUIFANYIA KAZI SOFTWARE HII
 
Inafanyaa kwenye linux...au ni kwa microsoft pekee

Nimeiaandaa kwa ajili ya MS Windows kama nilivyosema hapo awali nimeitest kwenye MS Win Xp & MS Win 7. Kama wewe ni mtumiaji wa linux nipe muda nijaribu kuandaa twiks ambazo nadhani zitaiwezesha kufanya kazi kwenye Linux. Kuna program zangu nyingine hapa nadhani utazifurahia
 
Ohhh Nime-release hii program leo karibuni tena:

Nimeitest kwenye Windows XP na Windows Se7en kama kuna bugs report hapa

Name: OSAS Computer Locker
Version: 3.0.0.0
Size: 1.92MB
Format: .msi
Link: http://osas.co.cc/files/complockersetup.msi

Enjoy!

MKuu big kwa kazi

Ila ukitoa hizi program andika japo intro au short descriptin inafanya nini na ina functionality gani.

Dont assume every one atajua/ataguess What is Osas computer locker.
 
Inafanya kazi gani? au ina faida gani?

Asante.

Hii ni program ya ulinzi kwa ajili ya kompyuta yako. Kwa mfano labda umetoka kidogo na hauoni haja ya kuzima kompyuta yako kwa sababu labda unafanya installation ambayo itachukua muda mrefu kwa hiyo utakachofanya ni kuifunga kwa kutumia OSAS Computer Locker.

Naelewa kabisa kwamba MS Windows inao uwezo wa kufanya kama au zaidi ya hii program lakini sio salama zaidi! em fikiria umesahau password yako ya Windows itakuchukua hatua ndefu sana mpaka kuiponesha komputer yako ukilinganisha na hii program ambayo hautapata usumbufu wa namna hiyo. Hii ndio inaleta faida ya kutumia programu hii badala ya kutumia ile iliyo ndani ya Windows.

Faida nyingine ni kwamba program hii inakupa wigo mpana wa kuifunga kompyuta kwa kutumia njia mbili yakwanza ni "Normal Locker" ambayo itaifunga na utafungua pale unapotaka, njia ya pili ni "Timer Locker" ile ya kufunga kwa muda maalumu ambapo baada ya muda huo itafunguka yenyewe au unaweza kufungua kabla ya muda kuisha.

Naomba uitumie na uisambaze kwa watu wengi kadri uwezavyo pia kama kuna chochote ungependa kiongezwe au kupunguzwa usisite kunitaarifu kupitia hapa au tuma ujumbe wako kwenda nyasiro AT gmail DOT com au +255757449054

Ahsante

Ohhh Nime-release hii program leo karibuni tena:

Summary:
This tool helps you to lock your PC when you don't have to shut it down. You can lock for defined time or resume by entering password.

Nimeitest kwenye Windows XP na Windows Se7en kama kuna bugs report hapa

Name: OSAS Computer Locker
Version: 3.0.0.0
Size: 1.92MB
Format: .msi
Designed for: MS Windows XP and above

Description:

Hii ni program ya ulinzi kwa ajili ya kompyuta yako. Kwa mfano labda umetoka kidogo na hauoni haja ya kuzima kompyuta yako kwa sababu labda unafanya installation ambayo itachukua muda mrefu kwa hiyo utakachofanya ni kuifunga kwa kutumia OSAS Computer Locker.

Naelewa kabisa kwamba MS Windows inao uwezo wa kufanya kama au zaidi ya hii program lakini sio salama zaidi! em fikiria umesahau password yako ya Windows itakuchukua hatua ndefu sana mpaka kuiponesha komputer yako ukilinganisha na hii program ambayo hautapata usumbufu wa namna hiyo. Hii ndio inaleta faida ya kutumia programu hii badala ya kutumia ile iliyo ndani ya Windows.

Faida nyingine ni kwamba program hii inakupa wigo mpana wa kuifunga kompyuta kwa kutumia njia mbili yakwanza ni "Normal Locker" ambayo itaifunga na utafungua pale unapotaka, njia ya pili ni "Timer Locker" ile ya kufunga kwa muda maalumu ambapo baada ya muda huo itafunguka yenyewe au unaweza kufungua kabla ya muda kuisha.

Download Link: http://osas.co.cc/files/complockersetup.msi

Enjoy!

kama siyo copy and paste,basi nakupongeza sana
niliwahi kusema kuwa hapa bongo hatuna software creater basi tunao software developer.wewe/nyinyi mko kundi lipi hapo?
 
Hapana ndugu sio copy n paste ni kazi ambayo nimeifanya mwenyewe unaweza tazama program zangu nyingine hapa
 
kama umeidevelop hongera, lakini umeitest mara ngapi kwa computer ngapi??
tell us how reliable the programme is!
isijegeuka kirusi!
lakini jitahidi uje na unique programme, aina hiyo tunazo nyingi so is not a big deal!
 
Nimeitest mara nyingi tu sina idadi kamili naomba nikuhakikishie kwamba sio kirusi. Nafahamu zipo nyingi ila na mimi niliamua nitengeneze yangu. Najitahidi kutengeneza vitu unique pitia kwenye website yangu OSAS Computing uone program nyingine. Asante kwa ushauri
 
Inafanyaa kwenye linux...au ni kwa microsoft pekee

nilikuwa nafanya testing ya hii software kwenye Ubuntu kwa kutumia Wine na sijagundua tatizo lolote karibia kila sehemu ya program inafanya kazi kama ilivyokusudiwa kuanzia utunzaji na usomaji wa password, utendaji kazi katika registry n.k isipokuwa program ilishindwa kuwa On-Top of other windows kwenye ubuntu 12.10 na kushindwa kuifunika ile slide menu ya upande wa kushoto.
 
Mkuu nyasiro, mbona hizo web yako inaleta this page
Code:
AUTHORIZATION REQUIRED. You must be athourized first.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom