Japo hujaeleza inapotezaje majira na calender lakini kuna mambo mawili ya kuyakagua.
1. C MOS Battery - pengine imekwisha inahitaji kubadilishwa au
2. Kwenye Time and Date Properties umeitune kwamba ijirekebishe saa kufuatana na Internet time za sehemu fulani kwa hiyo kila unapoconnect internet, inarekebisha saa zako ziendane na sehemu uliyoset. Angalia hiyo dialogue box hapo chini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.