computer ina virus

kasambalakk

Senior Member
Apr 2, 2011
125
17
habari za sasa wanajf..
me natumia laptop lakin huwa natumia flash disk tofauti tatizo ambalo nimelipata ni kuwa desktop yangu yote imeliwa na virus haina icon hata moja ni tatizo gumu sana kwangu nimetumia njia yingi lakin bado desktop yangu inaliwa..nikitaka kutumia desktop nafany aprocess kubwa... naomba kama kuna mtu anajua jinsi ya kurudisha desktop icons anisaidie wandugu....

rgds
 
sina hakika sana kama ni virus mimi nadhani ume hide desktop icons, hebu right click kwa desktop yako then check for available options. "show desktops icons" au right click kwa taskbar alafu properties
 
@ invisible...natumia karsperky 2011 lakin bado uyu mdudu amepiga kaka.. ngoja nicheck iyo software then nitarun alafu ntakupa jibu
 
Repair your system--inaonekana file la explorer.exe lime liwa--na kulirekebisha sio issue ndogo.
 
KIONGOZI HILO NIMEFANYA MORE THAN ONE LAKINI..TATIZO NI KUWA ME nina drive 2 drive d ndio inakila kitu dat y niformat hata kurepair tatizo linarudi muda huo huo..ndio maana nataka kujua linaweza kuondolewa na nini..
 
KIONGOZI HILO NIMEFANYA MORE THAN ONE LAKINI..TATIZO NI KUWA ME nina drive 2 drive d ndio inakila kitu dat y niformat hata kurepair tatizo linarudi muda huo huo..ndio maana nataka kujua linaweza kuondolewa na nini..
kama siyo partition na umeweka HDD mbili basi disconect kwanza hiyo drive D ndipo uweke fresh copy ya windows + antivirus kabisa ukimaliza conect hiyo drive D na uiscan
 
Sure,

Upgrade to Windows 7 Ultimate. Tayari ipo hapa JF, kwenye downloads section, files zako zitabaki bila kuathirika, ita-rename old OS kama Windows.old (usi-format pc please!).

Kumbe windows 7 ipo hapo naona watu wengi wanakuwa wanahangaika sana na hii kitu
 
Back
Top Bottom