Computer imeficha ma'file' yangu muhimu bila ridhaa yangu..!

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
23,914
23,077
Computer yangu imeficha(hide) baadhi ya mafile yangu MUHIMU yaliyokuwa kwenye ‘Desktop location' ndani ya drive C. Nikijaribu kuya search yanapatikana ktk 'directory' hii hapa… C:\Document and setting\User account(ambaye ni admistrator)\Desktop.

Nimetumia program ya Tune Up Utilities kutafuta chanzo cha tatizo (troubleshooting) na kupata 'attention' moja ambayo nimei'paste' hapa chini.

"""
Prefetch data deleted

The files in the prefetch folder, which contain information about the startup process for Windows and programs, were recently deleted.

Recommended solution to the problem

Make sure that neither you nor your programs delete the files in the prefetch folder.

What are the effects of this problem? """ mwisho wa 'Paste'

Nimejaribu ku'recover' deleted files/folders (kwa kutumia Tune Up Utilities),imekuja list ndefu ya hayo ma'file', na nimejaribu kutafuta hilo file/folder lenye jina la Prefetch sikuliona(sasa sijue file hilo lina kuwa na jina linguine au la).

Nikajaribu ku'restore' systems applications kwenye tarehe ya nyuma 28/12/2011 (kazi hii nimeifanya jana 3/1/2012),kuona kama itajaribu kuyafichua hayo ma'file' iliyoficha. Wala na hii haikuzaa matunda.

Wakuu nilikuwa naomba msaada wenu nifanyeje niweze kurudisha ma'file' hayo kwenye sehemu yanapooneka kwa urahisi badala ya kufanya searching ndiyo ni yapate?
 
Naomba unielewshe vizuri, uki-search unayapata, unapoyapata huwezi copy/cut kwenda unapotaka wewe?
 
Hao ni Virus.. Fungua My computer >>>Tools >>>Folder Option >>>>View>>> Click "Show Hidden Folder" >>> Click Ok!

Folder zako zikionekana, copy data zako sehemu ambayo ni safe.

Delete Folders zote zilizokuwa Hidden

Fuata ile njia ya kwanza hapo juu ukifika kwenye View, Click Don't Show Hidden Folders >>>>Click OK!
 
mkuu nimefuata maelekezo yako yote lakini hali bado ni ileile(hayaonekani).
 
Naomba unielewshe vizuri, uki-search unayapata, unapoyapata huwezi copy/cut kwenda unapotaka wewe?

Ni kweli nikisearch baadhi nayapata, mengine siyapati kwan nyingi ya files nilikuwa sijaorodhesha majina yake(filenames) kwenye hard copy. Na pia nataka kuondoa tatizo hilo kabisa ili lisitokee tena.
 
tafuta ubuntu Cd au linux yeyote na u boot kutoka humo. Utaona kila kitu. Kabla ya hapo download malwarebyte ufanye full scanning (kumbuka ku update), baada ya hapo weka avast, update na ufanye 'boot schedule scanning'. Then boot ktk ubuntu na ubadili attribut za mafaili na makabrasha kwa ku untick hidden!
 
Nenda kwenye command(cmd), fungua folder husika(C:\Document and setting\admistrator)\Desktop) type attrib tupe matokeo
 
Hao ni Virus.. Fungua My computer >>>Tools >>>Folder Option >>>>View>>> Click "Show Hidden Folder" >>> Click Ok!

Folder zako zikionekana, copy data zako sehemu ambayo ni safe.

Delete Folders zote zilizokuwa Hidden

Fuata ile njia ya kwanza hapo juu ukifika kwenye View, Click Don't Show Hidden Folders >>>>Click OK!

fuata maelekezo ya jamaa hapo juu halafu na sehemu iliyoandikwa hide protected operating system files ondoa hiyo tick, then ok.
 
Hiyo inaweza pia kuwa ni security feature files ambazo sio zako na zilikuwa saved kwenye desktop na my document huwezi kuziona. So inawezekana anshindwa kuziona sababu jamaa kalogon kwa user name nyingine na sio administrator. So jaribu ulog kwenye mashine kama user name aministrator.

Kama sio hivyo basi kama walimshauri mdau inawezeana ni kirusi
 
ingekuwa ni account nyingine anavyo search asingeyaona kabisa
 
Nenda kwenye command(cmd), fungua folder husika(C:\Document and setting\admistrator)\Desktop) type attrib tupe matokeo

Mkuu nimejaribu matokeo yamekuwa haya hapa chini(Mod nisaidie kuikuza hiyo picha)

hiddenfile22.JPG
 
tafuta ubuntu Cd au linux yeyote na u boot kutoka humo. Utaona kila kitu. Kabla ya hapo download malwarebyte ufanye full scanning (kumbuka ku update), baada ya hapo weka avast, update na ufanye 'boot schedule scanning'. Then boot ktk ubuntu na ubadili attribut za mafaili na makabrasha kwa ku untick hidden!

mkuu Ninatumia Kaspersky Antvirus, nikijaribu kuinstall malwarebyte Kasp inanieleza hiyo malware ni threat. je mkuu kuna haja ya ku-install Avast wakati tayari nina Kasp?
 
Mkuu nimejaribu matokeo yamekuwa haya hapa chini(Mod nisaidie kuikuza hiyo picha)

View attachment 44806

Samahani nimekupoteza kidogo.

ukifungua cmd ikiwa kama hapo C:\>
type Documents and Settings\Administrator\Desktop then press enter
itakuja C:\Documents and Settings\Administrator\Desktop> hapo type attrib then enter

tuma hiyo screenshot yake, kama fails zipo zitaonekana hapo.
 
Nenda kwenye command prompt then type as follows

C:\>ATTRIB -R -A -S -H -I \S \D \L (then Enter)
 
sidhani kama hii ipo correct.

\s na \d zinatumika kwa wakati mmoja?
na I ni attribute gani?

Kumbuka upo C kama una include all folders and subfolders inabidi kurudisha attributes kama +R na +S for System files.

tuelimishe kidogo hapo mkuu
 
ingekuwa ni account nyingine anavyo search asingeyaona kabisa

Mkuu
No searching itaonyesha fie zote desktop na my document za user wote . Labda ungesema hawezi kuyafungua. Au ni windows gani unayoongelea wewe
 
Nenda kwenye command prompt then type as follows

C:\>ATTRIB -R -A -S -H -I \S \D \L (then Enter)

sidhani kama hii ipo correct.

\s na \d zinatumika kwa wakati mmoja?
na I ni attribute gani?

Kumbuka upo C kama una include all folders and subfolders inabidi kurudisha attributes kama +R na +S for System files.

tuelimishe kidogo hapo mkuu

Samahani nimekupoteza kidogo.

ukifungua cmd ikiwa kama hapo C:\>
type Documents and Settings\Administrator\Desktop then press enter
itakuja C:\Documents and Settings\Administrator\Desktop> hapo type attrib then enter

tuma hiyo screenshot yake, kama fails zipo zitaonekana hapo.
Matokeo haya hapa

Matokeo haya hapa.JPG

tumia combofix ikishindikana nitafute pressdown@hotmail.com

Bado naifukuzia Combfix nitakupa matokeo muda si mrefu.
 
Tye cd Documents and settings\ Administrator\Desktop. Kuna cd hapo usisahau, then ndio u-type attrib
 
Back
Top Bottom