Computer hii vipi wataalam?

DOMA

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
944
365
Kuna computer moja Dogo kabonyeza function mouse ikaacha kufanya kazi mpaka key board tu sasa nifanyeje ili irudi kama awali? Ni dell 610
 
Kuna computer moja Dogo kabonyeza function mouse ikaacha kufanya kazi mpaka key board tu sasa nifanyeje ili irudi kama awali? Ni dell 610
Bonyeza fn key kwenye keyboard alafu utaona juu ya screen itadisplay function keys mbalimbali angalia iliyoandikwa touchpad alafu ubonyeze iyo function key itarudia katika hali yake ya kawaida
 
kuna ka key flan hivi kana alama kama ya mouse....sasa wewe bonyeza fn na hiyo key kwa pamoja...ikigoma jaribu kutumia combinations mbalimbali za ctrl, alt, shift na hiyo key itakubali tu!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom