Computer Deals Used!!!!

CompDealer

Member
May 1, 2009
18
0
Habari, dont miss this computers deals. P4 computer with 17'' CRT Monitor kuanzia 180,00/-,

Dell Laptops Pentium Mobile/Centrino (newer model than p4) kuanzia Shs 480,000
Models Available -
Dell Latitude D400 - Centrino 1.6GHZ, 40GB HDD, 512MB Ram, Wifi, Combo
Dell Latitude D410 - Centrino 2.0GHZ, 60GB HDD, 1GB Ram, Wifi, Combo
Dell Latitude D510 - Centrino 1.8GHZ, 40GB HDD, 512MB Ram, Wifi, Combo

HP Laptops Pentium Mobile kuanzia Shs 460,000

Acer Netbooks for $395

Kwa Maelezo zaidi Simu Au SMS
Kulsum Majid 0755 360770
 
Hii sio breaking news !!!!!!!ebooooooooooooo, hebu punguza ushenzi na uhaba wa akili kichwani-UWAKI.unaweza kuta vipc out of date.
 
Hii sio breaking news !!!!!!!ebooooooooooooo, hebu punguza ushenzi na uhaba wa akili kichwani-UWAKI.unaweza kuta vipc out of date.
ahahahhahahahahahhahaha acha kumchoma mjasirimali LOL..U made my day bro!!! ahahahah
 
ahahahhahahahahahhahaha acha kumchoma mjasirimali LOL..U made my day bro!!! ahahahah

Kapinga- sio kumchoma mjasirimali,sisi wabongo tunapenda kuchekacheka sana huku tunaumia,mtu analeta ubabaishaji watu wako happy tuu,sasa huyu anaweka BN kwa kitu gani kama nao huu sio ufisadi mdogo mdogo.UFISADI mkubwa unatokana na hivihivi viujanja vidogo.TIME IS RUNNING OUT WE NEED TO ACT NOW,FROM TOP TO THE BOTTOM. Nina hasira na hii nchi,watu tunang'ang'ania ughaibuni wakti nchi yetu tajiri inafisadiwa hovyo na watu wachache.FYI- unakumbuka ile picha ya Chenge baada ya kuuwa???????Eti anawapungia watu mikono kwa raha kabisa na watu wako happy kabisa.Ingekuwa China tungekuwa ishamsahau.Nina uchungu sana.
 
Dada kulthum dont mind mauza uza with a name like that expect the worse.Your prices are reasonable will call to see them.
 
Asante kwa tangazo. Kompyuta hizi ziko mkoa gani? Je, bei yake ni ile ile regardless mnunuzi yuko mkoa gani?
 
Itoke maeneo hayo au iwe located huko?


ahahahaha...mzee leo naona umeongezea furaha nafsini mwangu...kompyuta nzuri..itoke mikoa hiyo au ipatikane mikoa hiyo ilotajwa...tena iwe ni used deal sio?...ahahahaha..very kufurahisha
 
nitahitaji lakini kama unaweza kupokea kwa instment term nimechukua contact yako lakini hakikisha computer inaweza kutumika vizuri ili tukusaidie kuuza usikabe mtaani
 
mi ninanhitaji computer one au two GB ram ..hard drive sio deal na iwe na operating system na CD Rw na DvD na ni a laki nne na nusu. Nitapata?
 
kulsum au Kulthum,

Sasa umezidisha uswahili. Ukipigiwa hupoke messeji haujibu. Vipi??
 
on sundays i don't have my phone it stays in the shop, yes you can get laptop with 1GB for 440,000 and 1.5gb for 460,00 and 2gb for 470,000.

Please visit my shop at Mkunguni Street near Azam opp isham mobiles.

Thanks
 
Kulthum Asante kwa Taarifa yako I Will call On Wenesday
Asiehitakiji hajalazimishwa kujibu wala kusoma Mibarudhuli utaijuwa tu Haikupaswa Hata kuwa Nusu ya Mtanzania Binadam alieubwa Muungwana mwenye Busara. From now where jitu linaingia na kuanza kuponda PUMBAVUU KUSS'UHTUK!
 
Back
Top Bottom