Computer Bluetooth

boma2000

JF-Expert Member
Oct 18, 2009
3,280
310
Wadau nimeshindwa ku-activate Bluetooth kwenye laptop yangu ili niweze kuhamisha vitu kama music kutoka kwenye computer kwenda kwenye simu "and vice-versa".
Naomba msaada
 
Hakikisha laptop inayo bluetooth ni chache zinakuja nayo, kama haina unaweza kununua usb bluetooth thingy.
 
Kama computer yako ina inbuilt bluetooth tafutia driver za bluetooth kama haina inbuilt basi nunua hizi external bluetooth(USB).
 
Wadau nimeshindwa ku-activate Bluetooth kwenye laptop yangu ili niweze kuhamisha vitu kama music kutoka kwenye computer kwenda kwenye simu "and vice-versa".
Naomba msaada

Mkuu kwa namna ulivyoleta swali lako inakua ni vigumu kukupa msaada unaostahiki, labda ungefafanua nini umejaribu na umeshindwa wapi hapo ndio huenda ukapata msaada ulio sawa.
 
Wadau nimeshindwa ku-activate Bluetooth kwenye laptop yangu ili niweze kuhamisha vitu kama music kutoka kwenye computer kwenda kwenye simu "and vice-versa".
Naomba msaada

Why all the hassle, why dont u just use the cable.... much easier than using bluetooth...

umekwama wapi exactly na hiyo bluetooth...
 
unaweza kukuta hyo cmptr ina alama ya bt lakn haiko inbuilt much lyk acer 5130...so hakikisha una bt hardware ndan,tafuta drivers,au kama haipo inbuilt nunua bt dongle kama wakuu walivosuggest hapo juu!
 
Why all the hassle, why dont u just use the cable.... much easier than using bluetooth...

umekwama wapi exactly na hiyo bluetooth...
Naona laptop kumbe haina hiyo program, labda nitafute hiyo cable au program nifante installation
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom