computa

moko

Member
Apr 9, 2011
57
2
computa mpya,nimetumiwa computa mpya naiwasha inaandika maneno yafuatayo nifanyeje?non system disk error,replace and stike any key when ready
 
mhh ina maana inashindwa kudect Hard drive.

Lakini ni kazi kuwa conlusive kutambua hasa nini tatizo bila wewe kusema model na brand ya hiyo kompyuta.
Je aliyekutumia aliitest?

or do this ukiwasha bonyeza f2 au f12 ili uende kwenye BIOS uone kama Hard disk ipo detected. Otherwise taja model na brand ili wataalam wakumbie hasa nini cha kufanya zaidi ya hapo itakuwa ni kubahatisha bahatisha
 
hakikisha hakuna cd,floppy or flashdisk inserted. then kama itaendelea basi go to bios settings na hakikisha hdd imekuwa configured ikiwa inaonekana na haboot bado basi change boot priority na uweke OS
 
wakubwa nitawajibu ngoja kwanza nijaribu ujanja mlionipa kwanza ikishindikana nitawajulisha soon
 
Back
Top Bottom