Computa na M-pesa......

majogajo

JF-Expert Member
Oct 9, 2011
317
44
jamani naamini teknolojia inakua siku hadi siku...........Mi nataka kujua kama kunauwezekano wa kutumia computer yangu kuwa narusha hela kwenye m-pesa, air tel mone na tigo pesa. kuliko kuendelea kutumia simu kuwarushia wateja wangu. yaani computa yangu itumike kama simu ktk process zote za mpesa. yeyote anaeijua technologia hiyo anisaidie please......
 
Habari kaka! kwa sasa hakuna computer application ninayojua mimi kwa ajili ya kufanya kazi iyo, kwa kifupi inawezekana kabisa kuwa na application ambayo utakuwa unatuma na kupokea pesa kama unavofanya kwenye simu.

Pia unaweza kuhire programmer akakutengenezea aiyo application kama unahitaji maelezo marefu PM.

Ushauri: Kama simu inakuchosha Vodacom Web Box ina intafesi nzuri unaweza kuatumie ile.
 
Hi Majoganjo,their is actually a web interface ...mpesapi...it's free, download it from github...it still has some rough edges.If you are not a programmer you'll need to hire one to integrate it in your website..everybody is also welcome to contribute towards its development in other languages i.e C++,JAVA,PYTHON,RUBY...................all the best
 
nimekupata kwa mbali sana mkuu.......yaani naomba univute tena niweze kkpata vzr....
 
Hi Codezilla, are you taking about pesaPI released by Safaricom?. Does it work with MPesa of Vodacom Tanzania? pls help, I know that Vodacom Tanzania did not release its MPesa API yet.
 
Back
Top Bottom