Complication za Mgomo wa Madaktari

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Issue imekuwa complicated as only interns na muhimbili dr walio chini ya wizara ya afya the rest mikoani wapo chini ya halmashauri ambayo ni tamisemi so mgomo unity ni ndogo. Hawa madokta wako chini ya madiwani.

Muhimbili mgomo upo na Polisi wanazunguka Kama hawana Akili. Kuna FFU pia. Pinda si kiongozi ni msanii asingepoteza uwaziri mkuu Leo tungepiga Naye stories
 
Wapo chini ya madiwani?!!!!
Aseeee!!!
 
Hata huko Mbeya mgomo unaendelea na MOI ndo kabisa shughuli zimesimama. Polisi si waanze kutibu sasa kama swala ni kutumia nguvu ya dola. maskini Pinda she has proved a failure ruler again. Anasumbuliwa na Ulimboka mpaka anakiri hadharani naona anataka kumfanya vibaya sasa huyu dokta.
 
nimeependa hii nukuuu kuutoka gazeti la tanzania daima la jana ukurasa wa 9. limeandika hivi

kama viongozi wetu wakuu akiwemo rais wanaweza kufika mara kwa mara hospitali kumtazama mbunge aliyyelazwa na kwenda msibani nyumbani kwake anapofariki dunia na ikibidi kusafiri mkoani kuzika wanapata wapi kigugumizi cha kuwatembea maelfu ya wananchi wanaotaabika kwa mgomo wa madaktari na kuwafariji huku wakitafuta suluhu?
 
Hata huko Mbeya mgomo unaendelea na MOI ndo kabisa shughuli zimesimama. Polisi si waanze kutibu sasa kama swala ni kutumia nguvu ya dola. maskini Pinda she has proved a failure ruler again. Anasumbuliwa na Ulimboka mpaka anakiri hadharani naona anataka kumfanya vibaya sasa huyu dokta.
Hahahaha....... hapo kwenye red...... dah! Umeamua kudhalilisha mama zetu namna hii? Mi nadhani hapo pangesomeka "it"
 
Saa ya Ukombozi imefika, ni vyema kuwaunga mkono hawa madaktari kwa njia yoyote ile inayowezekana. Km Gaddafi na kiburi chake alikimbilia ktk mtaro sembuse Pinda??
 
Thats what we want.............tuone kama Davos inaweza kutibu wagonjwa sasa!!! gademu!!!!
Hehehe... dah! Chonde chonde wasitukasirishie na wafanyakazi wa TBL/SBL. Ndio tumaini letu pekee la "tiba" lililobakia.
 
Issue imekuwa complicated as only interns na muhimbili dr walio chini ya wizara ya afya the rest mikoani wapo chini ya halmashauri ambayo ni tamisemi so mgomo unity ni ndogo. Hawa madokta wako chini ya madiwani.

Muhimbili mgomo upo na Polisi wanazunguka Kama hawana Akili. Kuna FFU pia. Pinda si kiongozi ni msanii asingepoteza uwaziri mkuu Leo tungepiga Naye stories
My God! yaani madiwani hawa hawa ambao wameishia darasa la 4 na la saba leo hii ndio wanawasimami mdaktari wenye degree zao? aisee siasa imeshaiharibu nchi vya kutosha.
 
Pinda alipewa kazi aisiyoiweza, ndio maana saa ingine maji yakizidi analia! Uwezo ni mdogo sana huyu bwana, ahata hivyo kafanya vizuri kutokuwania urais, maana nchi ikivamiwa yeye badala ya kuonyesha njia...ataanza kulia. Aliwahi kusema ati tukiwaendea vibaya mafisadi, nchi itayumba! Waziri mkuu kweli? Hivi hakuona watu kama akina Sokoinne walivyokuwa bold wakiwa na nafasi hiyo?Ngoja aje aende muhimbili akute watu wanataabika aanze kuangusha kilio hapo Pathetic!
 
Nachukia sana watu wanao jifanya maafsa habari wa serikali,watu wote wanaona serikali haifanyi haki,yeye kanakuja humu,kuitetea,salamu zako FF.5
 
Back
Top Bottom