COMPETITION!!! Win 2 weeks PD-Proxy Premium Account from me!

e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
563
Yap 2 whole weeks for free Zantel UNLIMITED download woow!!! In one week I download like 20GB so.. 2 weeks u can even download 50GB its up to you... All you gat to do is win My Competition and you get your free premium account!!!

Sasa lets see how the competition is..

Nimetegeneza a setup file ambayo ndani kuna your prize.. will in the end of cracking the file :)

The setup file is password protected... sasa what you have to do is get into the file with the pass if u can crack it or without the pass but means that you would figure out to get into the file..the choice is yours..

Unaweza fikira sasa mambo gani haya password utacrack vp? Well usiwe mvivu kwa kufikiri na utumie all means possible to get into this file.. like GOOGLE!!!

Sio NGUMU coz mpaka natoa competition mimi mwenye once nlipewa setup file just like this na ilikuwa inakitu muhimu sana and sikupewa pass.. but I succeeded to crack the file.. so kama I can do it you can too!!

And ukifanikiwa this are the rules of getting the account!

-Ukifanikiwa ndani utapata maelezo ya what you have to do.

-Then uje hapa na ueleze how u did it

Kama ukifanikisha hayo I will provide you the account.

Competition STARTS: NOW (17:47)

Competition ENDS: TOMORROW (21:00)

All are welcome to do the competition sio lazima uwe unatumia PD-PRoxy just to prove kuwe wewe ni MKAREE!!!

The file nimeattach na hii post!!!

Kama ikifika huo muda na hamna mtu alieweza then ITS OVER!!! :disapointed:

But I will show you how you would have done it :smile-big:

TIP: DONT FOCUS MUCH IN CRACKING THE PASS.. FOCUS MORE IN CRACKING THE FILE!!!!

ALL THE BEST.. AND MAY THE BEST HACKER WIN... :poa

Attachments

  • Pd-Proxy (e2themiza) 2 Weeks Premium Competition.zip
    391.8 KB · Views: 271
Hili jamaa lisijekuwa lina mpango wa kutuma midudu kwenye kompiyuta zetu, nyie kazaneni na vitu vya bure mu hacked
 
nope!! idon' think xo, sema ni jaribio la kipuuzi n i've tried 3X finally iknew nang'ang'ana kuingiza ufunguo kwenye mlango wa kuchorwa!!!..........its kinda of silly sh!t....um out tha gAME!!
 
Hili jamaa lisijekuwa lina mpango wa kutuma midudu kwenye kompiyuta zetu, nyie kazaneni na vitu vya bure mu hacked

Haha usihofu mwana.. sina nia yakuhack mtu hii file ni clean kabisa no threat at all.. but its good unakuwa aware kuwa kitu kama icho kinawezekana and be aware at all times.. but I can assure you this is not a rat or a logger or whatsoever!! :poa
 
Ok People another tip.. kwanza kabla ya yote tambua kuwa hii file limetegenezwa na software gani.. apo utajua undelee vp... GUDLUCK zimebaki like 22 hours hivi to go so u gat all the time you need.
 
competition is over...
how i did it

kwanza nilicheck hiyo installer imetengenezwa na program gani kwa kuright click kwenye title bar>about setup nikagundua imetengenezwa na innosetup, then nika download kaprogram kamoja kanaitwa inno unpacker innounp, the Inno Setup Unpacker ambako kanaweza ku extract hilo file bila kuingiza password.
 
Mwana tayari mshindi kapatikana..
 
mkuu hembu nieleze vizuri hapo pa kujua software imetengenezwa na program gani umefanyaje..
 
mkuu hembu nieleze vizuri hapo pa kujua software imetengenezwa na program gani umefanyaje..

idouble click hiyo software itatokea wizard ya kuinstall then right click kwenye hiyo title bar katatokea kaoption then nenda kwenye about setup utakuta details za mtengenezaji.
 
Yah exactly iyo ndo approach niliokuwa nataka.. the first step always kujua imetegenezwa na software gani..

So after doing that inajulikana kuwa imetegenezwa na Inno Setup.. now is when google comes in :nod:

Kwanza kabla ya hayo.. au kukimbilia google.. unachk kama unaweza extract iyo file kwa kutumia hizi regular archieve etraction softwares kama 7zip ndo the best.. but kwa hili file itagoma...

then unagoogle kama kuna packer ambayo inaweza kuextract ili file na exactly kama deojames alivoipata ni innounp setup packer.. but apo sio mwisho coz lazima uwe unjua kutumia Dos commands coz hii sio like a regular software inarun na command prompt tu (CMD)

First download hio kitu kutoka hapa: http://iweb.dl.sourceforge.net/project/innounp/innounp/innounp 0.36/innounp036.rar

Then extract it alafu icopy the extracted files to Local Disk C:

Then fungua run and type in CMD kisha click ENTER

Ikishafunguka Command Prompt andika C: then Enter sasa tunatakiwa kurudi pale C: mwanzo kabisa so andika

cd.. then click Enter kurudi nyuma then rudia tena mpaka uone ipo C:\

sasa ikisha display ivo andika innounp then click ENTER ukiona kuna maelezo kibao yamedisplay ujue umepatia kila step ya juu.. OK minimuiz iyo Command Prompt..then sasa turudi katika hilo setup file lilo na password.. nalo licopy na kuipaste kule C: then rename it liwe neno fupi kama pd.. ok ukishafanya hivo

ok rudi command prompt and put the following code:

innounp -e pd.exe then Enter

hii code unaiambia innounp kuextract ilo file ambalo kwa mfano wetu tumerename to pd na iyo exe ni extension

Sasa ukirudi kule C: and kuchk utakuta the extracted files au file ambalo likuwa locked na pass katika setup file.. VIOLLA easy like that no need to crack the pass au kuangiaka just next time.. itumie GOOGLE vizuri na utaweza fanya anything!
 
2mekupata mkuu,alafu mkuu mie napenda sana mambo kama haya na ndo nataka nisomee ICT hapa COICT vp waweza nipa ushauri gani juu ya hili na je wewe umesomea k2 gan mpaka kuwa hv?.
Pleaz tel me,napenda sana mambo ya Technology zaid .ASANTE SANA MKUU.
 
Back
Top Bottom