Compare the 2 presidents baadae mezea!!!

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765

Kiwkete+Shambani-1.png

Wa kwetu akitembelea miradi yake huko Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani!

KAGAME.png

Wa wenzetu akiwajengea watu wake nje kidogo ya Kigali!

Source: www.zanzibarnikwetu.blogspot.uk.co
cleardot.gif
 
Aiseee babaangu ingekuwa safi sana kama 2ngebadilishiwa rais 2pewe huyo anayejenga makazi ya ndugu zake
 
Aiseee babaangu ingekuwa safi sana kama 2ngebadilishiwa rais 2pewe huyo anayejenga makazi ya ndugu zake

ngoja nipate mbege huku natafakari majibu nitakayomjibu karani wa sensa
 
Huyo anajenga au anapigwa picha akiwa ameshika mwiko na udongo,fundi muwashi hana hata tone la udongo huku tofali zimefika kozi karibu ya saba?,afadhali ya huyo anaye kagua mahindi yake kama yanafaa kuuzwa kwa wachomaji wa barabara za Mbezi Beach.Halafu ile Raba aliyovaa Babu yake Aziza mbona kama oversize?,mimi ndio saizi yangu na vaa size 12,akirudi mjini anitupie mimi,maana visit nyingine ya shambani sidhani kama ataitinga tena.
 
Mkuu kwenu mnachoma mahindi yaliyokwishavunwa? Yaani makavu? Umeniacha hoi!! Bora ungesema watengeneza bisi!!
 
Wakwetuanawavumilia Na kuwapauhuru Wa Liganga uvuvuzela hata km wanadanganya Na kuleta uvhochezi! Wa wenZetu Ana tawala kiimla Na haruhusu Uhuru Wa Naomi hata kwa Ghana vyaupinzani. Wasiosikia hubambikizwa uhaini
Na huuawa km wasipokimbia nchi
 
nimempenda huyu anayejichanganya na watu wa kawaida kama hawa wajenzi. hii inakupa kile hasa kinachotokea katika maish ya kila siku ya watu wako.

huyu anayekagua mahindi nina wasiwasi kama hata aliyaona yakiwa shambani. inawezekana kayakuta tu tayari yamewekwa hapo na yeye akajidai kuyaangalia angalia wakati pengine hakuwa amefikiria kufanya hilo jambo. hebu jiulize anayaangalia mahindi kama yana punje au??? huu usanii tu ili naye aonekane ni mkulima, huyu jamaa biashara zake zingine kabisa sio hizi za mahindi kama anavyozuga hapa.
 
Nimeona lakini simezei. Mmoja wa hawa marais usiku anapolala kichwa kinwmwuma akifikiria wanananchi wake; mwingine anakoroma sana akifikiria msiba utatokea wapi akatoe pole!
 
Back
Top Bottom