compare and contrast

i pad3

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,518
378
Leo akiwa Arusha kwenye kuapishwa wabunge wa EA
DSC04300.JPG

na hapa chini akiwa dodoma mwezi wa pili
4.jpg

sasa swali ni je pamba zimeisha madukani??
 
MKUU nijuavyo kuna watu kwenye makabati yao ya nguo utakuta aina moja tu (colour/design) na kila wakivaa unagundua ni shati/suruali/kiatu kile kile. Haina maana kuwa anavaa nguo ile ile but ni mfumo, rangi ile ile. Yumkini hata mhusika anazo nguo nyingi but amependa hiyo rangi. Binafsi navaaga suruali nyeusi/blue ilokolezwa na shati za mistari myeusi na myeupe -mikono mirefu au mashati meupe. Hizo ndo nguo zangu piga hua
 
hata mimi napenda suti nyeusi na tai nyeusi nyembamba sasa huwezi kusema kuwa ndio hio hio moja ....kikubwa ni acha kufuatilia maisha ya watu
 
Mpoki wa OK huwa anapenda kusema, uwanja ule ule na jezi zile zile lakini njumu mpyaaa! ila sio siri mkuu una kumbukumbu duh! au wewe ni mwanahabari wa taswira mnato?
 
Back
Top Bottom