Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,534
- 8,619
PM
Muungano umesaidia kuweka vile visiwa pamoja!
Sema akina Seif saa ingine hawataki to appreciate this!
Sasa Komoro tukiwa nao akina Seif watanyamaza tu.. maana sauti ya Upemba itapungua
kina seif wajanja ...wamajuwa siku muungano ukivunjika ..ndio siku ya kutawala zanzibar..,ukizingatia pemba ndio kwenye wasomi,na wahangaikaji....itakuwa rahisi kwao!!!
ambaye anaona bara ni kwa mafisadi na kuna maisha duni ni ruksa kwenda mchambawima...mara zote waunguja ni walalamishi na wasiokubali ukweli....mdomo siku zote umekuwa ukiwalisha!
hata comoro ina kipato kuliko zanzibar....$680 p/c,.....zanzibar wakitaka kujiendeleza kiuchumi wajifananishe na hali ya visiwa vingine kwenye mwambao huu......sasa kama wanataka kujilinganisha na MAFIA pia ni sawa,lakini mafia inainuka kwa kasi kesho tu na mafuta yapo.wao wameshaambiwa machoni kuwa wasahau mafuta.....!....pemba mafuta yapo[patamu hapo]...
mchawi wa zanzibar ni wao wenyewe na sera yao ya mapinduzi daima,inawaminya wapemba sana ,siku wakileta usawa pale basi wajuwe hata mambo yao yatakuwa mazuri!
mwaka 2005..walikubali nafasi ya urais muungano iwapokonye ..tu kwa sababu aliyekuwa na nafasi ya kupewa salim ana asili ya pemba ...zanzibar pale dodoma ndio walikuwa kikwazo kwetu kumpa SALIM urais!!!!.......kwa kupoteza nafasi ile sioni uwezekano wa rais wa muungano kutoka tena zanzibar...i dont see a reliable potential candidate among the high ranks.....