Comoro yatamani Muungano na Tanzania

GT,
Jana niliposoma huu ujumbe, nikaingia kwenye Google Earth na kuiangalia hiyo ichi. Ni tuvisiwa na milima kwa sana. Wapare watafeel at home (shemeji zangu msinipopoe mawe). Nilipofika sehemu ilipo AIRPORT, niliona neno KARIBU ila kidogo wameandika KIFARANSA. Mnaweza kuangalia kisiwa hicho na vinginevyo hapo jirani .......
 
GT,
Jana niliposoma huu ujumbe, nikaingia kwenye Google Earth na kuiangalia hiyo ichi. Ni tuvisiwa na milima kwa sana. Wapare watafeel at home (shemeji zangu msinipopoe mawe). Nilipofika sehemu ilipo AIRPORT, niliona neno KARIBU ila kidogo wameandika KIFARANSA. Mnaweza kuangalia kisiwa hicho na vinginevyo hapo jirani .......

....wapare wakwe zangu, wakianza kukupopoa mawe nami nitarusha japo moja
kwi kwi kwi kwi
 
JF,

Raisi wa Comoro anatamani siku moja Kuwa na Muungano na Mainland kama ule wa Zanzibar! Pamoja na matatizo madogo2 Muungano na ndugu zetu wa visiwani kwa sasa je kuna haja ya Tanzania kufikiria jambo hili?

Faida Comoro watakayoitapa ni kuwa Politically Stable na hii threat ya mapinduzi na visiwa vingine kujitenga mara kwa mara itaisha! Faida kwa Tz zaidi ni kisiasa kwani hawa ni ndugu zetu na kama kuna shida itabidi tu tukawasaidie!

Tayari Exim Bank wamefungua tawi Moroni na Kiswahili kimeanza kufundishwa Chuo Kikuu cha Comoro! Pia kuna biashara kubwa tu kati yetu kwa sasa!

Komoro sii mwanachama wa SADC wala EAC kwa sasa tofauti na visiwa vingine Madagaska, Mauritius na Ushelisheli ambapo ni wanachama wa SADC!

Je wakuu mnaonaje?



Source: HabariLeo | Kikwete awaonya wanasiasa Comoro

NAFIKIRI WANGECHUKUWA NAFASI YA ZANZIBAR na Zanzibar wakaachiwa huru.

Suala ! Wananchi wameulizwa? nafikiri hii ni tamaa ya viongozi ya kuona kuwa wanalindwa kuendelea kuumiza wenzao.

USHAURI! Bora wawaombe radhi Wafaransa ili waishi vizuri kama wenzao wa Mayyote lakini kuja kujiunga huku kina Rostam na Lowassa wanawangojea tu.
 
Wakuu wanayotamani watu wa comoro no wengi wanatutamani lakini basi wanashindwa...kila mtu anataka muungano na tanzania,hata hawa wapwa zetu hapo unguja wanajisemea tu...lakini wote wanaopiga kelele wanazipigia wakiwa star light au oysterbay...ningewaelewa sana kama wangesusa na kuamua kupiga kelele wakiwa chakwani!

..watanzania wenzangu nyerere aliliandaa taifa letu kuwa super power ,alijuwa utajiri wa rasilimali tunao..akaulinda na akaamua kwanza ajenge utajiri wa roho....watanzania ni matajiri wa roho...tunafurahi pamoja katika umasikini wetu [watoto wa temeke wanasema kugawana umasikini]...kwani ukiwa uswahilini wakipika wanaombana chumvi na chakula kikiiva wanabadilishana mboga....jirani analeta maharage ,wewe unampa kisonzo cha kisamvu,yule analeta papa ,wewe unapeleka sangara.....hiyo ndio falsafa ya kugawana umaskini.....maskini anakula mboga saba meza moja wakati yeye alipika mboga moja tu!!!...upendo uloje watanzania!!

Ndio mwalimu alitulea hivyo ndio maana tulichanga hadi nguo zetu za ndani na zaidi damu kuchangia ukombozi kusini........!!!matajiri walio karibu yetu ambao leo karibu hali zetu zinalingana pamoja na kuwa walikuwa mbele yetu saana ....wao hawakuchangia lakini leo wote tupo!!!

Tanzania lazima iwe super power kwani baada ya mwalimu kumaliza ground work ..tunamuomba mungu tumpate joshua ....kwani mwalimu amekufa kabla hatujafika nchi ya ahadi,...Joshua hatujampata .....bado!!!...akipatikana tukijenga uwezo mkubwa wa kiuchumi ......utajiri wa mali na fedha ...ukichnganya nautajiri wa roho....sioni nchi ya kuzuia influence yetu ...hasa kwenye mataifa ya jirani ambako makaburi ya askari wetu ,damu na michango yetu ipo....!!..kikwete asikate tamaa anao uwezo wa kuwa joshua wetu akitaka na akiamua kuwa serious!!!!..

damu za ndugu zetu na michango yetu mikubwa ipo.........Uganda,zimbabwe,congo,namibia,angola,afrika ya kusini,msumbiji,re union,comoro,...etc.!!!

Tuwaandae watoto wetu kufika pale tunapotaka!!!..tutaweza..tu kama tutatokomeza ufisadi..na tamaa za wachache wanaotaka kula matunda kabla hayajaiva........mwalimu angeamua kupopoa maembe....nani angejuwa????


LOH! Hivyo ndivyo unavyodhani?
Kama Wazenji wako huku wanalazimika kwa vile kule meweka vibaraka wenu ambao wanayafanya maisha ya Wazanzibari kuwa magumu ha hivyo wasio na moyo ndio wanaamuwa kuloweya huko. Lakini Mkuu Zanzibar ni nchi nzuri nasi wenyewe tunajivunia lakini kwa vile mnatutawala na kutuwekea majeshi huku vibaraka wenun wakifanya walivyotaka wakijua kuwa mnawalinda basi tunalazimika tuwepo huku.
 
May be iwe two step process!

1st Step- Zanzibar waungane kwanza na Komoro au Komoro iungane kwanza na Zanzibar jumla kutakuwa na Visiwa vitano: Unguja, Pemba, Anjouan, Ngazija (Grand Comoro) na Moheli ambavyo vitakuwa ni Umoja wa Zanzibar na Comoro..something like that!

2nd Step- Jumuiko la Visiwa hivi (about 2 million population) waungane na Mainland na kuwepo na kura maoni na mchakato wa jinsi Muungano litakavyokuwa! Then tunaweza kuwa na serikali tatu: Visiwani, Mainland na URT makao makuu Dodoma may be. Au mji Mkuu uamuliwe uwe wapi?

Then sote kwa pamoja tunajiunga na Shirikisho la EA, SADC or AU!

Taabu nayoiona na iwapo Komoro na Zanzibar watapenda kuungana kwanza na kuwa na raisi na serikali moja!

Hii ina maana hata jina la Tanzania itabidi litabadilika!

Zanzibar hapa sijui kama watapenda..na hii itapunguza mvutano wa Seif na SMZ!

Je imekaaje?

FAR FETCHED ILLUSSION
AMA ndugu Zetu mwapenda kuonea !! Wakenya Na Waganda mnawaogopa hamtaki kuungana nao? Ili tupate sifa na usuperpower na tuungane na hao ili jiinchi liwe kubwa ZAIDI. MNAONEA BUZI GOMBE AH AH LINA PEMBE.
 
kwa nini tuache kuungana na kenya nchin iliyoko jirani na sisi, twende tukaungane na comoro ambayo n i muungano wa visiwa vilvyoko bara lingine?
 
kwa nini tuache kuungana na kenya nchin iliyoko jirani na sisi, twende tukaungane na comoro ambayo n i muungano wa visiwa vilvyoko bara lingine?

Mwikimbi,

1. Unajua toka Mtwara hadi Komoro ni karibu sana? Sii mbali ndo maana Wakomoro wana maingiliano ya karibu sana na Unguja na Mainland kuliko hata walivyo karibu na Msumbiji!

Sasa kwa Nini huyu raisi hatamani Komoro kujiunga na Msumbiji au Madagaska ambao ni karibu zaidi???


2. Kenya na Uganda kuna mchakato unaendelea sasa hivi wa EA Federation nadhani by 2015 au 2020 tutakuwa na Federation moja!
 
Last edited:
kwa nini tuache kuungana na kenya nchin iliyoko jirani na sisi, twende tukaungane na comoro ambayo n i muungano wa visiwa vilvyoko bara lingine?
 
wazenji tushawachoka its about time tukaachana na watu ambao at most wamejawa na UBAGUZI wa rangi na wameshindwa kuondokana na slave mentality
 
Hata mimi natamani tuungane na hawa jamaa ili kuwaonyesha waZanzibar kwamba Muungano ni faida kwa vinchi vidogo kama vile...
 
Sasa Muungano wa Comoro wakitaka wapige kura ya maoni na tuwaambie hadi asilimia 90 ya wapiga kura wakubali! Zanzibar sasa watajisikia vibaya tukiungana na Comoro.

Mwanakijiji

Hii inawezekana ikawa njia ya kuondoa tatizo la Zanzibar... mimi nawashauri wananchi wa Tanzania bara na wa Comorro tupige kura tuungane....

Swali ili tuongane na Comorrow tutahitaji kura za Zanzibar ... haahaaa ololoooo vidole juu!!!
 
.....nadhani aleji yangu ya Muungano ndio tatizo!!! Tusipoteze muda kujadili matatizo kama haya, hii na wazanzibar tunaonekana kama tunaulazimisha, sijaona kama tupo kwenye win-win situation na zanzibar, sijui kama kutakuwa na tofauti na Komoro. najua wanasiasa wanapenda akiwa Rais aitwe Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa ..... sasa sijui inaitwa na nini, but I see no gain in the previous, and I do not foresee any in this either!! So they can as well go, I hate to say to hell!!!
 
Naunga mkono wazo la MKJJ, P. Mikhael na Game Theory...mimi ningefurahi kuona lugha nyingine ya kidunia ikizungumzwa Tanzania..Kifaransa.
 
Hivi hawa Wangazija wanaifahamu CCM kisawasawa? Mimi nadhani kabla ya viongozi wao kufanya hivyo waend Visiwani (Zbr na Pemba) wakawaulize wananchi wa kawaida kama wamefaidika nini na Muungano.

Visiwa hivyo vimenasa katika historia -- hali ngumu sana ya maisha, mabasi ya mninga, wanaume wazima wanajifunga misuri ya khanga na mambo mengine ya ovyo ovyo tu. Ni viongozi wao tu ndiyo angalau wanaishi ktk pepo.



Hilo la khanga usililete, kule usukumani wanaume wakijipiga rubega za khanga na kushindana misuko ya nywele na kina dada hujayaona? Au siku hizi yamekwisha?
 
Back
Top Bottom