Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Kenya's Jason Dunford celebrates his gold medal win in the 50m butterfly
Jamani Tanzania ina shiriki huko India? Hongereni Uganda na Kenya kuwakilisha East Africa
Inasikitisha sana yaani hata medali moja hatukupata!!
Tulienda kutalii tu!!
Kocha wa riadha - mgeni; Kocha netball - Mgeni; Kocha wa football - mgeni; Kocha wa ngumi - sijui; Kocha wa nini nini - Sijui; Kocha wa ufisadi - Mgeni; Kocha wa ujinga, maneno mengi bila vitendo - Mzawa; unafikiri iko siku tutashinda? Miss world tunashika mkia kila siku, miss EAC yale yale, Tusker project fame ndo hivyo kila mwaka, labda Bss na maisha plus kwa sababu tuko wenyewe ila tukichanganywa tu hatuna nyimbo.
hehehe chenga twawala lakini magoli twafungwa. :dance::dance::dance: halafu kabla ya kwenda majigambo mengi kumbe:A S thumbs_down: