Commodity Market in Tanzania

Mtanganyika

JF-Expert Member
Jul 18, 2007
1,601
944
Waungwana hivi kwa nini hakuna mjasilimali alieanzisha commodity market in Tanzania? Hii itasababisha kustabilize price ya nafaka nyingi nchini, vilevile itawapa wakulima access na wateja direct.

Ethiopia wameanzisha, Kenya wamefanya hivyo. Kwa nini Tanzania tunalega lega?
 
Huku ni ngumu kwa sababu ya siasa mkuu, Siasa ni nyingi sana kwenye kilimo chetu, mfano wakulima wanalima mahindi yao mkuu wa wilaya anawaambia hakuna kuuza mahindi, hapa hiyo commodity market itafanya kazi vipi?

Contact farming yenyewe imefeli huku, na hii yote ni kuingiza siasa katika kilimo, contact farming ingeweza kabisa kuwasaidia wakulima wa Tanzania lakini ku implement contact farming Tanzania ni sughuli pevu sana,

Kuna shirika moja nilifanya nao kazi walikuwa wana link wakulima na masoko hasahasa haya mazao ambayo hayana siasa. ilikuwa ni kazi sana kufanikiwa, na kuna viongozi walikuwa wanavuruga makusudi,

So commodity market itafanikiwa kwa mazao ambayo hayana siasa lakini kwa mazo kama mahindi asikudanaganye mtu siaisa ni nyingi sana unalima mahindi halafu mkuuwa wilaya au mkoa anatangaza kwamba mkulima atakaye uza mahindi yake atafungwa wewe unategemea nini?

Kenya hakuna siasa kwenye biashara ya mazao na ndo maana unawaona wanauza mahindi yao sana SUDANI ila huku jaribu hata kuuza kenye uone
,

Cha ajabu mfano huku Arusha hawa wazungu wote wanao lima huku wanatumia contract farming tiyali wana mikataba na wanunuzi wa mazap yao
 
Tuelezeni kwanza hiyo commodity market inafanya kazi vipi?
JF ni shule, wengine tunategemea kufunzwa humu humu...
 
Tuelezeni kwanza hiyo commodity market inafanya kazi vipi?
JF ni shule, wengine tunategemea kufunzwa humu humu...

Ni kama tu ilivyo Stock exchange market, na hii ya comodity market inakuwa na vitu hivyo hivyo
1. Wauzaji
2. Wanunuzi
3. Bei
Ila kwa Bongo kama mnavyo jua bei za mazao hupangwa na bod sijui za pamba, korosho na kazalika so kuwa na strong comodity market huku kwetu ni ndoto sana,

Na kuna comodity za aina mbili,
1, Hard commodity- hii ni kama madini, natural gesi, makaa ya mawe na kazalika

2. Soft Commodity- hii ndo ina vitu kama mazao means mahindi. pamba, mchele na kazalika
 
Asante sana mkuu.
Sasa what is best kwa mkulima? commodity market where the rice is regulated by offer and supply au kua na board ya kusema what is the price of the day? hakuna a mixed model?

Ni kama tu ilivyo Stock exchange market, na hii ya comodity market inakuwa na vitu hivyo hivyo
1. Wauzaji
2. Wanunuzi
3. Bei
Ila kwa Bongo kama mnavyo jua bei za mazao hupangwa na bod sijui za pamba, korosho na kazalika so kuwa na strong comodity market huku kwetu ni ndoto sana,

Na kuna comodity za aina mbili,
1, Hard commodity- hii ni kama madini, natural gesi, makaa ya mawe na kazalika

2. Soft Commodity- hii ndo ina vitu kama mazao means mahindi. pamba, mchele na kazalika
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom