Comming soon: The first torrent site in tanzania / east africa

NOT FOUND

Senior Member
Mar 14, 2011
158
59
Wakuu nipo kwenye hatua za mwisho kutengeneza online file sharing community, tutakuwa tuna share files kwa kutumia applications kama ARES, Utorrent, Bittorent, Vuze etc.

Nipo kwenye process ya kutafuta ushirikiano na site ya thepiratebay, pamoja na ku sajili trackers.

Nimeshasajili domain na tayari nina high speed hosting facilities, hivyo muda si mrefu tutajumuika pamoja kwa:

www.bongohunt.org

Pigeni makofi tafadhali.
 
Hamna shaka wewe tuletee tu mkuu,kwanza bongo kuna sheria?? hahaha
 
Wakuu nipo kwenye hatua za mwisho kutengeneza online file sharing community, tutakuwa tuna share files kwa kutumia applications kama ARES, Utorrent, Bittorent, Vuze etc.

Nipo kwenye process ya kutafuta ushirikiano na site ya thepiratebay, pamoja na ku sajili trackers.

Nimeshasajili domain na tayari nina high speed hosting facilities, hivyo muda si mrefu tutajumuika pamoja kwa:

www.bongohunt.org

Pigeni makofi tafadhali.

Mkuu mbona mambo yanaaza kukorofisha mapema nashindwa kuifungua hiyo tovuti yako. Naona hata nikiping hiyo site hakuna kitu. Nadhani hapo uliposajili domain inawezekana DNS yake haina ushirikiano mzuri na internet DNS nyingine . labda tuwekee na Ip adress ya tovuti.

BTN
File sharing ina kula resources sana sijui umejitayarisha vizuri?
 
Hebu maliza ndio uje kutoa taarifa hapa, unatuambia bado hujakamilisha ili tufanyeje, tukuchangie?
 
Unajua lakini kuwa hao jamaa wa Pirate Bay wana kifungo kinawasubiri? Tena umeregister .org jitayarishe kwa hiyo domain kukamatwa na soma vizuri host wako Agreement yenu, wengi file sharing hawaruhusu na tracker ndo kabisa na kama host yuko Marekani site nayo itakamatwa.
Anyway good luck.
 
Mtu mwenyewe NOT FOUND watampata wapi?
 
Vp magwiji,mbona wote mnamkatisha tamaa jamaa? Wengine wanasema anataka wamchangie wakati hajaomba hata senti!!!! Mpeni ushauri bana, hata mbuyu ulianza kama mchicha!
 
jamaa ni mkali ndo maana ni mpongeza sana tukipata kina NOT FOUND 10 bongo ni kama china.....
 
Back
Top Bottom